Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game yetu Referee atakuwa ni Antony Taylor hahahahahaha. FA naona wapo kazini, hahaha..scums supporter kapewa hii game, na LFC walimshamkataa kitambo sana, Antony Taylor hajachezesha game yoyote ya LFC tangu August last year. Sahiv FA wanampa game ya 17th october wakijua wazi kuwa ni utd fan. Hahahah FA.
 
Can anapiga jaramba (usiwaze)

Lallana, Clyne, Lovren, And now Wijnaldum.

Clyne and Lovren will make it, but sidhan kama Lallana and now Wijanaldum watakuwa tayar kwa gemu ya tarehe 17.
 
Lallana, Clyne, Lovren, And now Wijnaldum.

Clyne and Lovren will make it, but sidhan kama Lallana and now Wijanaldum watakuwa tayar kwa gemu ya tarehe 17.
Hata kukiwa na mashaka na hali zao tuna kikosi kikubwa kidogo hivi sasa na wote walio nje wanausongo wakucheza kweli Can/Grujic/Lucas/wote wapo fit
 
Hata kukiwa na mashaka na hali zao tuna kikosi kikubwa kidogo hivi sasa na wote walio nje wanausongo wakucheza kweli Can/Grujic/Lucas/wote wapo fit

Yep Yep.

Depth ipo ya kutosha now.
 
Giorginio Wijnaldum will return to Melwood on Tuesday to be assessed by the medical staff. [pearce]
 
Wijna Asipokuwa Fiti Mimi Bado Nina Imani Na Can Kuwa Atawakilisha Vyema! Problem Lipo Kwa Kukosekana Lallana Lakini Hata Hivyo Bado nina imani na DS kuwa Anao Uwezo Wa Kutuwakilisha Vyema iwapo Naye Hatapata Injury...
 
DS? Mkuu upo serious kweli? Kwani DO ana injury? Yani ni bora yule bwana mdogo anaweza kufanyia kitu kikaeleweka kuliko DS.....au bora amchukue Dany Ings anaweza kutufaa kwa zile mbio zetu lakin DS ni mzigo kwa staili yetu ya uchezaji.
 
Kuna huyu dogo Ejaria akipewa nafasi anaweza fanya makubwa dogo anaujua,sasa hivi pakitoke majeruhi huwa siwazi sana maana Klopp ana mafundi wengi bench .
 
DS? Mkuu upo serious kweli? Kwani DO ana injury? Yani ni bora yule bwana mdogo anaweza kufanyia kitu kikaeleweka kuliko DS.....au bora amchukue Dany Ings anaweza kutufaa kwa zile mbio zetu lakin DS ni mzigo kwa staili yetu ya uchezaji.

DS Nakubali Kuwa Kuanza Kwa Msimu Alikuwa Mzigo Ambao Ni Wakutugharimu! Laki Nilikuwa Bano Nina Some Hope Kuhusu Yeye Kwani Nilijua sababu Ya DS kuwa Mzigo Ni Kutokana Na Last Season Kusota Benchi Kutokana Na Injury Ya Muda Mrefu That is why imetake time Kurecover na Kumrudisha Katika Ubora Wake...!
Lakini Ukweli Ni Kwamba DS siku hadi siku Anaimprove Performance Yake Na Huenda Akarejea Katika Ubora Wake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom