Ahahahaaa...mkuu umewaza mbali...hapo kwenye uso wa mbuzi ni ngumu kupachambua ila kuna habari kuwa sometimes anakosa nidhamu...alishawahi kuingia matatizoni yeye na wanyama wakati wakiwa sotonHivi huyu mane kwanini huwa acheki is there any story behind...nmejitahidi kutafuta sehemu anacheka ila nmefail.
Maana jamaa ni wa mbuzi full time.!!Ahahahaaa...mkuu umewaza mbali...hapo kwenye uso wa mbuzi ni ngumu kupachambua ila kuna habari kuwa sometimes anakosa nidhamu...alishawahi kuingia matatizoni yeye na wanyama wakati wakiwa soton
Taarifa ngumu ni kuwa Mane ameumia bega mazoezini hivyo atafanyiwa scans leo .... (nafasi kwa Markovic kuonesha uwezo kwa klopp?)
Hii habari inakera sana, niliisoma mahali nikajikuta ninasonya tu.Taarifa ngumu ni kuwa Mane ameumia bega mazoezini hivyo atafanyiwa scans leo .... (nafasi kwa Markovic kuonesha uwezo kwa klopp?)
Mkuu Ed nEddy nakupa salamu
Big up kwa wanalivepool wote kwa kusongesha gurudumu. Nilipotea ila kwa chaati nilikuwa nawafuatilia kupata updates mbili tatu. Tuko pamoja...
ila hii habari ya saido kuumia haijakaa poa.. I hope is not something serious
What???? Oh my God!!
Chini ya kapeti ni miezi 3 njeHii habari inakera sana, niliisoma mahali nikajikuta ninasonya tu.
Mane atakosa maximum mechi moja tu!Good news now ...... By Skysport .... Mane suffer muscle injury .... hivyo atakuwa nje kwa wiki 1 hivi ...
Hiyo game mmoja mkipanga markovic na moreno lazma mkaeWe are lucky
Mane will miss only one game tena just because of precaution
Kuna petition Moreno afikishwe Mahakamani maana ndiye aliye muumiza Mane
Kops wamechukia sana huko
Good news now ...... By Skysport .... Mane suffer muscle injury .... hivyo atakuwa nje kwa wiki 1 hivi ...
We are lucky
Mane will miss only one game tena just because of precaution
Kuna petition Moreno afikishwe Mahakamani maana ndiye aliye muumiza Mane
Kops wamechukia sana huko
Atakuwa nje kwa maximum ya game moja tu.Chini ya kapeti ni miezi 3 nje
Bahati mbaya tuKama Ni Kweli Huenda ikawa Ni Racism au Ni Jealous Kutokana Na Kuwa Mashabiki WalimBlame Sana Kwenye Gemu ya Arsenal na Kumsifia Sana Mane.
Moreno atacheza na tunashinda easily tuHiyo game mmoja mkipanga markovic na moreno lazma mkae
Mkuu hapa anatabasamuHivi huyu mane kwanini huwa acheki is there any story behind...nmejitahidi kutafuta sehemu anacheka ila nmefail.
Firmino hawezi kucheza pembeniMoreno atacheza na tunashinda easily tu
Moreno siyo mbaya kivile
Bao la kwanza Lallana pia alaumiwe,wkt Moreno kapanda yy akapokonywa mpira easily sana
Nafasi ya Mane anacheza Firmihno na nafasi ya Firmihno anasimama Dan
Sasa hapo tatizo lipo wapi?
Ni kweli mkuu, niliipata hii asubuhi nikapumua.Good news now ...... By Skysport .... Mane suffer muscle injury .... hivyo atakuwa nje kwa wiki 1 hivi ...