Punainen
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,303
- 1,056
Dah, rangi bayaaaa! Sijalipenda, basi tu.
Wakuu, wapi ndugu yetu MosDef?!
Dah, rangi bayaaaa! Sijalipenda, basi tu.
Na kama uliangalia mechi ya leo alfajiri ndo usingeipend zaidiDah, rangi bayaaaa! Sijalipenda, basi tu.
Wakuu, wapi ndugu yetu MosDef?!
bora hata blackMosDef hajasema chochote humu tangu tumsajili Sadio Mane.Sijui kwa nini kwakweli.Kwenye siasa namfananisha na Mnyika,amekuwa kimya tangu chadema imsajili L owassaDah, rangi bayaaaa! Sijalipenda, basi tu.
Wakuu, wapi ndugu yetu MosDef?!
Yaani huyo mtu anayeamua au kupendekeza rangi ni janga kubwa kwa sisi wengine!Na kama uliangalia mechi ya leo alfajiri ndo usingeipend zaidi![]()
![]()
![]()
bora hata black
Hawa jamaa wasioonekana ni wa kusakwa warudishwe humu jamani! Maana hapa tunahitaji mchango wa kila mmoja. Na kuna jamaa mwingine wakati fulani alikuwepo sana hapa, anaitwa Liverpool fc kama sikosei, nina muda sana sijamuona, babu 'kidonge' naye siku nikiwa mode nitampiga ban kule jukwaa la mapenzi ili akumbuke huku, hahahaaaa!MosDef hajasema chochote humu tangu tumsajili Sadio Mane.Sijui kwa nini kwakweli.Kwenye siasa namfananisha na Mnyika,amekuwa kimya tangu chadema imsajili L owassa
...kidding
Hawa jamaa wasioonekana ni wa kusakwa warudishwe humu jamani! Maana hapa tunahitaji mchango wa kila mmoja. Na kuna jamaa mwingine wakati fulani alikuwepo sana hapa, anaitwa Liverpool fc kama sikosei, nina muda sana sijamuona, babu 'kidonge' naye siku nikiwa mode nitampiga ban kule jukwaa la mapenzi ili akumbuke huku, hahahaaaa!
AsprinLete video ya game ya Ac Milan mkubwaa !Miserable news for Lfc, with Karius suffering a broken hand that will leave him out for around two months.
dah Kweli MosDef sijui mzima hapa duniani? ile Rangi ya Jezi ni Mbaya uzuri kama Tanesco wa kikata umeme unaonekana.Dah, rangi bayaaaa! Sijalipenda, basi tu.
Wakuu, wapi ndugu yetu MosDef?!
Dah, rangi bayaaaa! Sijalipenda, basi tu.
Wakuu, wapi ndugu yetu MosDef?!
Hahaaaaa hiii rangi ni shida lakini wameshinda siku ya kwanza tu kuivaaNa kama uliangalia mechi ya leo alfajiri ndo usingeipend zaidi![]()
![]()
![]()
bora hata black
boss naye 
Wako wengi osokonoi Kaizer Tee Bag Kingmairo Plesis Janjaweed The BossHawa jamaa wasioonekana ni wa kusakwa warudishwe humu jamani! Maana hapa tunahitaji mchango wa kila mmoja. Na kuna jamaa mwingine wakati fulani alikuwepo sana hapa, anaitwa Liverpool fc kama sikosei, nina muda sana sijamuona, babu 'kidonge' naye siku nikiwa mode nitampiga ban kule jukwaa la mapenzi ili akumbuke huku, hahahaaaa!
Mimi nahisi mwaka huu tukianza na gear zuri tu mechi 5 za mwanzo wataisoma number. Team iko vizuri na kuna vijana wanakuja vizuri tu. Future is bright. Naona itakuwa mpira wa pasi fupi na speed maana kati tuko vizuri. Hatutaki super star ni team work basi.
Lakini jana coach kasema sio indivudual ni team sasa nadhani msimu uliopita aliona Klop haogopi kuweka mtu bench kama huchezi as a team na hii ndio ilikuwa advantage kwa Origi ku shine nakuonesha uwezo wake wakati wengi wetu tulianza kumtilia mashaka lakini leo na uhakika ata lead front line ya Liv.Tatizo yule mwingereza DS15 anapenda kujiona super star kweli...wakati akina Coutinho/Firmino wapo humble tu, na kiuhalisia ndiyo wakali kuliko yeye!
Haswaaaa! Ila huyu babu ili kumrejesha hapa, labda tumtumie mrembo Loverness! Maana babu anawasikiliza sana wajukuu! Hahaaaa.