Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Spotted back at melwood...driving even signing autographs...
2AC16F1400000578-3170928-image-a-1_1437576353951.jpg

3755733700000578-3745299-image-a-13_1471449066066.jpg
 
KLOPP backing Moreno..and i'm 100% behind him.

Yes, Moreno huwa anafanya mistakes za hapa na pale, but they can be coached..na siyo kila mistake ikitokea tunamlaumu yeye. Kama tulimvumilia Lovren mpaka Form yake ikaja kubadilika, then why not Moreno? Kama Klopp ataingiza team kwa ajili ya kuattack ni wazi Moreno ataanza tu, na kama atataka kudefend atawaanzisha kina Milner/Klavan, wote wanaweza kucheza kama LB..au anaweza kumshift Clyne na RB akacheza dogo Arnold.

Moreno ni mchezaji mzuri sana, ana talent, tulimuona wakat akicheza Sevilla. He's a good player na nitamsupport till the end.
 
Kina Pearce wanam-scapegoat Moreno, and at the same time they're backing Flanagan..they're both 24, kama unasema Flanno anahitaji muda, kwanini isiwe Moreno? And Moreno is miles better than Flanno.
 
And if, ikitokea Klopp akaamua kusign LB..chaguo langu laweza kuwa kati ya Charles Taylor/Jordan Amavi/Robertson. Kwasababu kipindi ambapo tulikuwa tunajaribu kumsign BC, klopp alisema anahitaji LB ambaye atamdevelop and thats why he chose BC.
 
And wanting Moreno to play like Riise/Aurelio ni kama kutaka Can acheze kama Gerrard.
 
My Burnley Team.

Mignolet, Clyne, Matip, Klavan, Moreno, Can, Henderson, Wijnaldum, Coutinho, Firmino, Sturridge.
 
Lol, reports zilikuwa zinasema PZ ndo first target ya Klopp..but Klopp akawa anagoma kutoa €13m, despite na PZ mwenyewe kujaribu sana kuforce a move..mara ya kwanza nikawa naumia sana kwanini Klopp anabana hiyo hela..ukizingatia kuwa ni ndogo sana kwa market ya sasa? Baadae nikaanza kujiuliza kama ni first target why Klopp anaona €13m ni nyingi wakat kalipa £30m for Mane (ambaye kwa wingers alikuwa ni 2nd target?)..ndo kuja kushtuka £25m bid imeenda kwa Newcastle, hahah. Kawachezea mchezo m-baya sana Spurs na Dortmund.

Manake Zorc alikuwa anaangalia kila mchezaji ambaye Klopp anamtaka nae anaenda front, tatizo letu sisi la siku zote la negotiations ndo lilikuwa linatuangusha, Dortmund wakabeba target zetu zote mbili (Dembele na Emre Mor)..nahisi wakawa wanaangalia atamake move gani next, coz nadhan na wenyewe watakuwa walikuwa hawajaridhika na PZ, walivyoona kimya wakaamua wai-wrap up deal ya Gotze. Kumbe Master ana mawazo yake kichwani...kama umefatilia utagundua Klopp alianza kumake major moves baada ya Dortmund kumaliza usajili wao..na hata ishu ya Dahoud imekuja kuleak tayar Dortmund washamaliza usajili wao. Mane/Gini/Klavan habar zao zote zili-leak baada ya kila kitu kukamilka...so lets see kama kwenye hizi siku zilizobaki, tutasikia chochote..na nahombea kiwepo otherwise kumuuza CB for £32m haitamake sense hata kidogo.


Muangalie Ousmane Dembele pale Dortmund msimu huu..na utaelewa why Klopp wanted him so bad. Sema tu Zorc alituendea front na kwenda kuongea Na Mama yake dogo, mpaka kumualika ujerumani na kuongea nae kwa kirefu, kwa gear hiyo tu Mama zetu wa Africa unakuwa ushawamaliza. Na ndo factor kubwa iliyompeleka Dembele Dortmund. Wataalamu wa hizo style ni Barcelona. Wanaanza na baba/mama, ikishindakana huko wanakuja kwa mke..utakubali tu.
 
Kwa wale wapenzi wa EP fantasy league, karibuni tupambane kwenye

Jamii EP League with codes 2598737-758046

Karibuni nyote!
 
Nielekeze najiungaje!! Nilishawahi chezaga zamani!!

Karibu mkuu Pukudu

Ukiingia kwenye website ya EPL...premierleague.com utaona button ya fantasy pale juu. Click then utaingia kwenye page ambayo itakuelekeza kufanya registration. You will have 100pounds kufanya usajili. Baada ya usajili, angalia kwenye side bar utaona button imeandikwa "Create and join leagues" Ukiingia hapo utaona sehemu ya kuweka hiyo code niliyoitoa hapo juu. Ingiza code then click join.

Mpaka hapo utakuwa umeingia kwenye jamii EP League.

karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom