Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Msimu huu hata aina wasi wasi kabisa tutafanya vizuri tu.
Kuna umuhimu msimu huu kuchukua points 3 nyingi za mwanzo
Msimu huu hata aina wasi wasi kabisa tutafanya vizuri tu.
Sure kuna muda Klopp anazingua
Kwa Lucas inaonekana anahusishwa na deal la kuwa exchange player na Wijnaldum also inasemekana BR anamtaka so chance ya lucas kubaki ni ndogo sana
Hahaha Hendo msimu huu atafute pa kuanzia tu
Tumekuwa linked tena na huyu mtu?Hii Habari jamani imekaaje
Karim Benzema
Kweli mkuu also he is a boss too atakacho ndiyo kitakachofanyikaKlopp ni binadamu pia,ulifikiri ni malaika?
Hela nzuri tu hiyo kwa allen

Yap ukitegemea tulimnunua kwa £15m sio mbaya ukitegemea kuna wakati tulijua tukipata basi ni £8m.Hela nzuri tu hiyo kwa allen
Atatupa vitu adimu",..Marko Grujic jamaa anajua![]()
Nimecheka watu wanamzomea Alberto Moreno si sababu wanamchukia sababu mashabiki wanataka Dogo ni Golikipa ndio apige Penalt! Dogo kapangwa Mbele Shamal George sababu Lucas kaumia.