Huyu jamaa Wijnaldum, hana makeke ila ni mzuri sana! Ni mchezaji mkubwa kuliko jina lake. Tukimpata nitafurahi sana!Wijnaldum 15-20million Pound sio mbaya ila ningependa Midfield anayekata funua kati pale na Dogo Ejaria ananifurahisha tunpeleke Celtic au Ligi ya championship apate uzoefu wa kukomaa.
The color isn't goodLfc 3rd kit (leaked)
![]()
Huyu mtu sijui klopp alilazimishwa kumchukua hakum-treat well kabisa halafu Caulker still youngHivi Steve Caulker yupo wapi?
Yule mbona mzuri sana kuliko huyu Klavan na kawa already tested
Klopp ana MATATIZO sana sometimes mkuuHuyu mtu sijui klopp alilazimishwa kumchukua hakum-treat well kabisa halafu Caulker still young
Kwa Mikhtaryan utakuwa unamuonea JK mkuu, kama ulikuwa unaangalia league ungeona ni kwa kiasi gani jamaa kapewa nafasi.Klopp ana MATATIZO sana sometimes mkuu
Huyu Makhitiriayan(check my spells please),alimnunua yy akawa hampi namba na angebaki angemfukuzia mbali
Kaja kocha mwingine kampa nafasi,kijana anajua sana yule!Benteke,Ibe,Skrtel na Baloteli hataki hata kuwaona
Hata Hendo,Sturrigde na Lucas pia hajawakubali
Yeye ni Flanagan,Coutihno,Firmihno,Can,Ings na Origi
MkuuKwa Mikhtaryan utakuwa unamuonea JK mkuu, kama ulikuwa unaangalia league ungeona ni kwa kiasi gani jamaa kapewa nafasi.
Msimu wa 2013/2014(kama sijakosea) mikhtaryan alikuwa kwenye first 11 ya klopp, jaribu kukumbuka hata kwenye champions alifanya kazi kubwa ila akaja kukosa clear chances nyingi dhidi ya Madrid pale Bernabeu ambapo madrid walienda kuchukua kombe kabisa
Mkuu, huo msimu alikuwa na majeruhi, almost first eleven yake yote pale Dortmund ilikuwa na majeruhi( Reus, Mikhtaryan,Gundogan,Hummel) ndo maana alikuwa na msimu mbaya ndo maana mtu kama Ramos alipata playing time.Mkuu
JK Kabla hajaondoka kuna kipindi hata reserves akawa hakai
Mm kwa maoni yangu Ibe na Benteke angewapa nafasi zaidi
Nina uhakika mwaka huu tutakuwa na msimu wa kujivuniaMkuu, huo msimu alikuwa na majeruhi, almost first eleven yake yote pale Dortmund ilikuwa na majeruhi( Reus, Mikhtaryan,Gundogan,Hummel) ndo maana alikuwa na msimu mbaya ndo maana mtu kama Ramos alipata playing time.
Kilicho mtokea Dortmund ndicho kilimtokea Liverpool ambapo alikuwa na majeruhi wengi mpaka akamrudisha Ibe, na kumchukua as a back up maana hatukua na centre back mzima
Msimu huu hata aina wasi wasi kabisa tutafanya vizuri tu. Ngoja ligi ianze kwa kumchapa Arsenal mbili kavu MentorNina uhakika mwaka huu tutakuwa na msimu wa kujivunia
Tukiongeza beki wa kushoto na lile dubwana lenye nguvu la Newcastle
We good to go

Dah mkuu, Benteke tena.....!Mkuu
JK Kabla hajaondoka kuna kipindi hata reserves akawa hakai
Mm kwa maoni yangu Ibe na Benteke angewapa nafasi zaidi
Klopp ana MATATIZO sana sometimes mkuu
Huyu Makhitiriayan(check my spells please),alimnunua yy akawa hampi namba na angebaki angemfukuzia mbali
Kaja kocha mwingine kampa nafasi,kijana anajua sana yule!Benteke,Ibe,Skrtel na Baloteli hataki hata kuwaona
Hata Hendo,Sturrigde na Lucas pia hajawakubali
Yeye ni Flanagan,Coutihno,Firmihno,Can,Ings na Origi