Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Last man stand (Rafa era)

9cd6ab8407f10f1d26149b522858b737.jpg
Na hakuna rumours za yeye kuondoka
 
Most popular away shirt

10. Mamadou Sakho
9. Nathaniel Clyne
8. Jordan Henderson
7. Divock Origi
6. Adam Lallana
5. Emre Can
4. Daniel Sturridge
3. Sadio Mane
2. Roberto Firmino
1. Philippe Coutinho
 
Leo tupo uwanjani dhidi ya Wigan athletic saa kumi na mbili jioni

YNWA
 
Naangalia hii mechi yetu vs Wigan live kupitia Azam tv. Forminho amekuwa mzuri sana!
 
Second half, Markovic kwa mara ya kwanza akiwa na jezi ya LFC ana cheza kama 10 his position
 
Sikupenda sana kuzungumzia pre season ila hawa madogo Ejaria na Woodburn they hold very good future natumai kuwaona wakikipiga kwenye carling na FA then first team
 
Ninachojiuliza kwanini klopp anamchezesha sana huku akiwa ametoa go ahead ya kuondoka kwake?
Markovic ni mzuri tena sana sema BR alimvuruga kweli kweli mpaka kucheza wingback na kumuamisha positions kila mechi kuli-hinder his development

Markovic ni moja ya number 10 bora kabisa ambaye yeye kutoa assist ndo pride yake just like Ozil, hana mambo mengi sana ana direct football

PamojaAna milango ya kuondoka imefunguliwa kwake kuna chances za kubakia kama atakuwa na pre season nzuri
 
Yaani kama kuna mchezaji sitaki aondoke, ni huyu Markovic.
 
Kuna Wisdom pia....nimefatilia mechi mbili zilizopita....ni centre back mzuri sana aisee....hafanyi makosa kabisa.Ila nae nimeona kuwa anaondoka...!
Yaah dogo hii summer wanataka wamtoe kwa mkopo kwa hiyo mwisho wa siku CB atakaye baki ni Lovren ambaye yuko fit kwa maana Illori inaangaziwa ataitwa kwenye olimpics hivyo atakosa mechi kadhaa huku Sakho na Gomez wakiwa majeruhi na jana Matip kaumia ingawa wanadai si kwa kiwango kikubwa leo naona kuna habari za usajili wa CB mwingine wa kumuhusu Ragnar Klavan ambaye deal yake inakadiriwa kuwa around £4.2 million.
 
Kuna haja gani ya kumuondoa kolo toure na kuleta kibabu kingine cha miaka 30 ambacho hakina hata experience na ligi???

#laughingstock
 
Kuna Wisdom pia....nimefatilia mechi mbili zilizopita....ni centre back mzuri sana aisee....hafanyi makosa kabisa.Ila nae nimeona kuwa anaondoka...!
Baada ya kuwa dhahiri kuwa Sakho na Gomez watakosa mwanzo wa msimu kwa sababu ya umajeruhi, itakuwa kituko sana kumuondoa Wisdom.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom