Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Atavaa jezi namba 5

1469211786603.jpg

“I’m really excited because Liverpool is a big club with a great history and it’s always a dream to play for as big a club as Liverpool.”

He also commented on the prospect of working alongside Jürgen Klopp, adding: “[He seems] a great man - from the outside - because I don’t know how he works yet and I have to work with him.

“[But] I always love to watch him, his passion as a trainer, I like how he enjoys the game. He gives something back to the group [with his passion] so I look forward to working with him.”
 
Nayaona maisha ya lallana kuwa mafupi zaidi siku zinavyosogea
Hapo mwenye hali mbaya ni Captain naona anenda kuwa kama Arteta, Varmaleen ila wao walikuwa majeruhi ila Hendo atasugua bench akiwa mzima kaabisa

Hata Lallana atasugua bench ila siyo kwa kiwango cha Hendo sidhani kama lallana ataweza anza mbele ya coutinho, firmino au mane
 
Lallana ni mzuri zaidi ya huju wil sijui kwann klopp kamleta huyu jamaa . okay Joe Allen ndio anasepa stoke city but sio kumleta huyu kwa £25 ni nyingi sana . kuna better player kwa PESA ndogo . Mashabiki wa Newcastle huko UK walikuwa wanasema huyu jamaa hapaform akiwa ugenini na magoli yote 11 aliyofungia Newcastle akifunga St. James park tu
 
I don't like HENDO ningependa auzwe but katu kumeshajaa Lucas,can,gujric,Stewart wako poa sana so sidhani kama Ana namba na ile klopp kumpa ukapteni flano kwenye mechi Moja EPL ni dalili kwamba atakisugua sana
 
Lallana ni mzuri zaidi ya huju wil sijui kwann klopp kamleta huyu jamaa . okay Joe Allen ndio anasepa stoke city but sio kumleta huyu kwa £25 ni nyingi sana . kuna better player kwa PESA ndogo . Mashabiki wa Newcastle huko UK walikuwa wanasema huyu jamaa hapaform akiwa ugenini na magoli yote 11 aliyofungia Newcastle akifunga St. James park tu
But stats doesn't lie ukiwa wa-compare tatizo kubwa la Lallana ni end product hasa kwenye ufungaji ... usajili ukiisha fanya sum up ya tulichoto na tulichoingiza utaona pesa ngapi imetumika
 
Hapo mwenye hali mbaya ni Captain naona anenda kuwa kama Arteta, Varmaleen ila wao walikuwa majeruhi ila Hendo atasugua bench akiwa mzima kaabisa

Hata Lallana atasugua bench ila siyo kwa kiwango cha Hendo sidhani kama lallana ataweza anza mbele ya coutinho, firmino au mane
Captain...

Hawa marafiki wana wakati mgumu pale... hendo tetesi zake za kwenda Totts sijui zimeishia wapi
 
Simkubali Hendo .

Mara Mia tungemuuza Hendo Allen akabaki

btw tuna viungo WA Kati wengi saivi hatari..

Wijnadrum,Lucas,Henderson,Grujic,Milner,Stewart,

Combination ya Mane,Coutinho,Firmino will conquer EPL

Pale mbele a fit DS atasaidia sana

next season I can see Mignolet warming the bench mpaka akome
 
Position gani hasa huyu wijnaldum anacheza... liver pale anakuja kucheza nafasi gani hasa? Is he a real deal?
 
Mkuu sisi na nyie nani wana wazee wengi?
tena Golikipa kuwa number tatu inakuwa nadra sana kucheza hata hainisumbui kichwa, tulete beki kushoto na winger ya kushoto na middle yenye kukaba soko mpaka dk za mwisho kutatokea mengi Hasa kunapesa zitaangushwa za Coutinho ambazo zitakataliwa.
 
Huyo yupo for experience ili kuwapa motivation Migs na Karius...

Cou labda msimu mwingine huu yupo sana
 
Cou about new tattoo

“I went to my home, to my home city, and stayed with family and friends over the summer. I got some new tattoos, including one of my daughter.

“I had it done in Brazil. It hurt a lot – it took five hours to do and was done all in one go!

“I don’t have plans for anymore now… only if I have another child!”

1469295460820.jpg
 
Simkubali Hendo .

Mara Mia tungemuuza Hendo Allen akabaki

btw tuna viungo WA Kati wengi saivi hatari..

Wijnadrum,Lucas,Henderson,Grujic,Milner,Stewart,

Combination ya Mane,Coutinho,Firmino will conquer EPL

Pale mbele a fit DS atasaidia sana

next season I can see Mignolet warming the bench mpaka akome

Nadhani klopp anam-keep sababu ya heshima ya u-Captain ila niliona Totts wanamtaka sijui ilishia wapi?

Msimu huu tuko vizuri
 
Simkubali Hendo .

Mara Mia tungemuuza Hendo Allen akabaki

btw tuna viungo WA Kati wengi saivi hatari..

Wijnadrum,Lucas,Henderson,Grujic,Milner,Stewart,

Combination ya Mane,Coutinho,Firmino will conquer EPL

Pale mbele a fit DS atasaidia sana

next season I can see Mignolet warming the bench mpaka akome
Lucas anaondoka
 
Position gani hasa huyu wijnaldum anacheza... liver pale anakuja kucheza nafasi gani hasa? Is he a real deal?
Mimi nadhani good deal. Atasaidia sana team jamaa mzuri sana pia unajuwa sio first 11 tu lazima tuwe na squard nzuri kuna siku mpira unakataa unakuwa na watu wa kuingia na kuleta improve. Huyu W anacheza left au right hata kati 10 anaweza. Team itakuwa nzuri sana basi sijui keeper tu atakuwa nani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom