Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwanzo mzuri, 5 defeats in a row WITH BRENDAN ROGER'S team!!
Hayo ndo mawazo ya Kops, mie sio YNWA, mi ni kimeo kile kingine cha North London kwa le prof!!
Brendan Rodgers team wanapotumbuliwa tu
Walipofanya ile come back kwa BvB mbona hatukusikia ya Brendan Rodgers team
 
Acha tufurahi tu chief, I hate Liverpool from deep down of my heart

Najiuliza wangeshinda leo sijui kesho ingekuaje kazini aisee,

Woga wangu pia ulikuwa huo mkuu. Vidole vingekuwa vingi ila sasa na wao wawe wapole
 
Acha tufurahi tu chief, I hate Liverpool from deep down of my heart

Najiuliza wangeshinda leo sijui kesho ingekuaje kazini aisee,
Hahaha
Yaan wote tumetulia
Uingereza hali shwari, europa sevilla katuloza mtuu, nadhan ni fair sasa
Kila mtu aka jipange
 
Huu mchezo hauhitaji hasira

Hhahahaaa..!!! Hatari aisee
8975978d8b1fbc55bc109d1b56c2ddf7.jpg
 
mnafikiri kubeba EUROPA ni makalio, useme kila mtu ana yake.
#Looserfull
 
Dah, hongera kwa Sevilla.... mbaya sana. Hakuna namna, maisha yanaendelea, kitu kizuri ni kuwa msimu ujao hatutakuwa na longolongo ya Europa tena....huwa ndefu mno. Labda tukikomaa na ligi na vikombe vya ndani inaweza kutupa nafasi ya kujijenga. YNWA.
 
Safi sana SEVILLA kuna watu humu walibisha sana, nishawaambia hili kombe linakwenda spain mtake msitake..na imekuwa ivyo!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mnafikiri kubeba EUROPA ni makalio, useme kila mtu ana yake.
#Looserfull
Dogo Enzo
Lile Timu letu la mieleka na rugby linacheza CL au Europa msimu ujao?

Kule Arsenal wapo akina un-stable-negro wanamtaka Klopp ili awape motisha wachezaji.

Ukishangaa ya stable-negro unayaona ya majogoo ya malafyale.
 
Acha tufurahi tu chief, I hate Liverpool from deep down of my heart

Najiuliza wangeshinda leo sijui kesho ingekuaje kazini aisee,

Hata ivo Liver wamejifunza mengi kutoka kwa wataalam wa soka (sevilla)so washukuru sana kukutananao
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Loser will always be a loser broh, klapp sasa kapoteza 5 finals in a row, MLITEGEMEA JIPYA HAPOO???

Mzee naona leo tumekuja kuchekea kwa jirani

Duh nimecheka kuwakuta huku wazee alafu mmeongozana kama kawa kwa jirani ila nyie mnafurahia jirani kafiwa hapa ni unoko unoko tu maana ukikausha siku ukifiwa utajuta,tar 21 may saa 1:30 nitakua kibarazani kwenu maana machale yananipa imani kua mnafiwa pale kwenu alafu yule dada yenu haji uku nahisi ni jukwaa la shemeji zake.
You Will Never Win Anything
 
Wacha tufurah bhana, chance hzo twapata mara chache kwa mwaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom