Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mpaka leo mpaka ss sijawaona hata ule msemo wa mmebahatisha hawajaja kusema sababu wanajua hatujabahatisha YNWA! ila Dortmund mie toka ile draw sikuwaogopa ila Villareall nimeona cheza yao kidogo itakuwa ngumu.
we'll beat them, EASILY
 
Yaah...kweli kibarua bado sio slope football haitabiriki hata kidogo. Forward ya hawa jamaa pia sio ya kibeza. Ukiwacheki Laliga they are 3 places above Sevilla with 12 pts difference. Hivyo ni wakali
Game nyepesi hiyo.

trust me
 
Hivi ikatokea scenario Mancity wakachukua UCL ila kwenye ligi wakawa wa 5 na Manu wa 4, alafu liverpool wakachukua Europa, england itawakilishwaje?
Man utd/team yoyote itakayomaliza nafasi ya 4 (utd/Arsenal) haitoshiriki UCL. kama City akishinda CL na LFC akibeba Europa.

but City hawawezi shinda UCL, ila i can see them finishing 4th, so wataenda UCL, kama LFC tu ndo itakayoshinda ECL..
 
Kijana MosDef, nakutangaza rasmi kuwa wewe ni nabii wa soka la Anfield!

Hakika mimk na wewe tutakuwa sote katika ufalme wa mbingu siku ya mwisho.
LIVERPOOL ni LEGENDARY TEAM..

although hatuna team bora kama ya Dortmund, kwenye mashindano kama haya ulegend huwa unachukua nafasi yake..

ndo maana football legends kibao walishangazwa na Rodgers kuanzisha kikosi cha pili kule madrid, ulikuwa ni uvunjifu wa HESHIMA.
 
Man utd/team yoyote itakayomaliza nafasi ya 4 (utd/Arsenal) haitoshiriki UCL. kama City akishinda CL na LFC akibeba Europa.

but City hawawezi shinda UCL, ila i can see them finishing 4th, so wataenda UCL, kama LFC tu ndo itakayoshinda ECL..
Na hayo yote yakitokea itakuwaje na Man U akishinda FA?
 
Xabi Alonso Twitter yake niliipenda picture ya This Is Anfield. Abumayeng alipose pale kumaliza game alipajua kama This Is Anfield! ila yule dogo mkali hata Makhatarian.
Anfield ni legendary stadium..
 
Na hayo yote yakitokea itakuwaje na Man U akishinda FA?
mshindi wa FA CUP na COC prize yake nyingine (ukitoa kombe na Pesa) ni anapata free-pass ya Europa league..(hii ni kama huyo mshindi wa FA cup/COC hakumaliza top FOUR, it means kama umeshinda FA cup na kumaliza top FOUR, then Europa league itaenda kwa yule aliyemaliza nafasi ya 5, 6/7)

kwa kesi ya Utd, hata akishinda FA cup na kumaliza nafasi ya 4, ikitokea City na LFC wameshinda European cups, Man utd ataiachia hiyo nafasi ya nne na kwenda Europa..
 
Sio kwamba Uingereza watapewa nafasi tano UCL?
 
great draw..

nilikuwa naomba tusikutane na SD.
Kwanini? Askari hachagui vita ili uwe bingwa lazima uzifunge timu bora hauwezi kuwa bingwa kwa kuogopa timu fulani....
Tuombe tusiwe na injuries Mkuu,...
Liverpool na timu za spain ndio zake na ili uwe bingwa watoe vigogo...enheeee like tim flan ivi ilivyofanya jana

YNWA
Well said mkuu.....that's football play against anyone ahead beat them then prove hw best u re!!! fear no one!!
Tuna game ngumu na Yellow Submarine lkn Liverpool inamtegemea Klopp na insh'Allah tutasonga mbele
In sha Allah
 
Hivi ikatokea scenario Mancity wakachukua UCL ila kwenye ligi wakawa wa 5 na Manu wa 4, alafu liverpool wakachukua Europa, england itawakilishwaje?
City ni lazima aende kama atachukua hata akiwa ameshuka daraja refer msimu wa 2005/2006 Liverpool walienda CL kwakua walikua mabingwa lkn walimaliza wa 5 au wa 6 kwenye ligi. Tottenham akatolewa alimaliza wa 4.
Ukiwa bingwa wa europa pia ni direct ticket to CL therefore wa 3 na 4 will lose their place for champions!!
 
Yeah...am now a happy soul, MosDef.

Am a champion that's why I hate losing. I was at Anfield on a couple of occasions during those glory days watching Allan Hansen, John Aldridge, John Barnes, Peter Beardsley, etc on show - losing then was a taboo.

That's why am soooo f....g ecstatic with this latest show vs Dortmund as it reminds me the LFC of old that I have watched in person!
Dah, Tisha-TOTO umefaidi sana mkuu, huwa nawaonea sana wivu watu waliowaona kina Barnes wakipiga soccer pale Anfield (bonge ya feeling)..lol, but i had a good feeling kuwaona kina Stevie, Nando, Xabi, Kuyt, Masch, reina, Agger, carra etc, shame, never got to watch Suarez man, but planning to go and watch Coutinho, Firmino, DS and our KLOPP before zama hazijaisha..

so una mpango wa kufanya trip nyingine?? hakuna great feeling kama kuwepo ANFIELD man..

ila nimekuonea wivu sana Mkuu (When LFC was LFC, enzi hizo), i remember we had a couple of misunderstands kipind cha nyuma hapo, didnt know kuwa you're a LEGEND mkuu, i apologise kwa zile mboyoyo za hapa na pale, you're a LEGEND mkuu..

You're a LEGEND, Now naelewa why huwa unademand matokeo mapema sana..

You're a LEGEND.
 
Na hayo yote yakitokea itakuwaje na Man U akishinda FA?
Bingwa wa FA ana direct ticket to Europa league so man u ashinde FA asishinde ataenda tu kucheza Europa kama ataendelea kubaki pale alipo kwasababu wa 5 na wa 6 huwa wanapata nafasi hiyo endapo bingwa wa FA atakuwa yupo ndani ya big 4.....
 
Sio kwamba Uingereza watapewa nafasi tano UCL?
Yap ni nafasi 5, kama City na LFC zitashinda European cup, (Leicester, Spurs, Arsenal, City and LFC).

na pia zitakuwa ni nafasi 5 zile zile kama City hawatoshinda UCL, ila wakamaliza top FOUR, na zitakuwa ni nafasi 5 zile zile kama City hawatoshinda UCL na kushindwa kuingia Top FOUR, na pia zitakuwa ni nafasi 5 kama City hawatabeba kombe la UCL na kushindwa kuingia Top 4, na wakati huo huo Utd akafanikiwa kuingia top four, hapo itakuwa ni Lei, Spurs, Arsenal, Utd and LFC (Assuming sisi tumeshinda Europa), sisi tusiposhinda Europa nafasi zinabaki zilezile 4.

na kama Sisi wote yaani City na LFC tukashinda makombe, yule aliyemaliza wa nne kwa league (mfano utd) atanyan'ganywa hiyo UCL spot na kupewa City..so itakuwa ni Lei, spurs, Arsenal, City and LFC (hapo utd kishaondolewa)..so kama City na LFC wakishinda makombe yoyote atakayemaliza wa 3 kwenye league ndiye atakayekuwa safe..
 
Dah, Tisha-TOTO umefaidi sana mkuu, huwa nawaonea sana wivu watu waliowaona kina Barnes wakipiga soccer pale Anfield (bonge ya feeling)..lol, but i had a good feeling kuwaona kina Stevie, Nando, Xabi, Kuyt, Masch, reina, Agger, carra etc, shame, never got to watch Suarez man, but planning to go and watch Coutinho, Firmino, DS and our KLOPP before zama hazijaisha..

so una mpango wa kufanya trip nyingine?? hakuna great feeling kama kuwepo ANFIELD man..

ila nimekuonea wivu sana Mkuu (When LFC was LFC, enzi hizo), i remember we had a couple of misunderstands kipind cha nyuma hapo, didnt know kuwa you're a LEGEND mkuu, i apologise kwa zile mboyoyo za hapa na pale, you're a LEGEND mkuu..

You're a LEGEND, Now naelewa why huwa unademand matokeo mapema sana..

You're a LEGEND.
 
Kwanini? Askari hachagui vita ili uwe bingwa lazima uzifunge timu bora hauwezi kuwa bingwa kwa kuogopa timu fulani....

Well said mkuu.....that's football play against anyone ahead beat them then prove hw best u re!!! fear no one!!

In sha Allah
Nah, tumetoka kwenye game ngumu, so ilikuwa ni muhimu kurelieve Pressure kidogo.
 
Emre can kaumia hatokuwepo kwa wiki kadhaa,allen leo ataanza au lucas...milner jembe lile halikati tamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom