Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I will love them wakihamia MAN U!

Then they will RIP!
Dooooohhhhh!!!! Yaani nyie full kuwawazia Man U tu doooohhhhhh poleni sana......ohhh!!! Kumbe wote ni Reds......You Never Walk Alone ....we are together .....
Another MANURE's biggest MOMENT this season ni Rashford's goals against Arsenal..looooool...what a shit team

oooooooooooooh, and beating West ham too...lol
 
MANURE UNITED's BIGGEST MOMENT kwao kwa msimu huu yalikuwa ni maneno ya fraud Martin Tyler baada ya Martial kutupiga goal on his debut kipind kile..manake wengi wao wameisave ile clip, lol..what a shit team..
Aiseeeee!!!!!! MAN U itakuua duhhh!!!!! You love us ohhhhh!!!!!......
 
Klopp anatakiwa kuacha kumu-overlook Joe Allen, he's been a better player tangu Klopp achukue team..

Kati ya Joe Allen, Lucas, Milner and Henderson, nikiambiwa nichague mmoja wa kubaki LFC, nitamchagua Allen..
huwa sio muandikaji sana kwenye hili jukwaa dispate of being a die hard fun wa liver....hichi ulichokiandika ndo nmekuwa nikiwaambia watu..allen anafanya kazi kubwa sana hana mbwembwe anachojua ni kupasia mbira mahli sahihi...nmekuwa fun ake tangu enzi za rogers...
 
4b389cdcafa9e83c4d5dbecddc42cf3c.jpg

The moment when you give the world a life.
2ea347f7e86e7e32c33dc245bec1ec66.jpg

Second half you were the best
21161428a1b61fac16279c8dee3042c5.jpg
 
UCL
Man City vs Real Madrid
Bayern vs Atletico Madrid
Naona Madrid Derby kweny UCL Final
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom