Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 955
- 1,314
Yeah ni kweli mkuu lkn hii sio km ligi za kawaida hii ni ligi ya mabingwa so tuondoe ukubwa na udogo......ingekua ni ligi ya kawaida unacheza na kila timu ningekuunga mkono 100%.Nah, tumetoka kwenye game ngumu, so ilikuwa ni muhimu kurelieve Pressure kidogo.