intrinsic-motivation
Member
- Jan 1, 2016
- 68
- 55
All in all we take 3pts

All in all we take 3pts

You are absolute right!Lkn wamepumzishwa hawa akina Moreno sababu ya derby hiyo ambayo huwa ina upinzani sanaNa Evaton kikosi cha tatu sasa wasi tuumize kichwa sii tupo ulaya
Tatizo ukiwapangia hao wanakaza mech inakua ngumuu angalia hizi mechi 2 zilivyo nyepesiYou are absolute right!Lkn wamepumzishwa hawa akina Moreno sababu ya derby hiyo ambayo huwa ina upinzani sana
Tunampiga Everton easily kabisa!Tatizo ukiwapangia hao wanakaza mech inakua ngumuu angalia hizi mechi 2 zilivyo nyepesi
Huyu kinda anae kuja kwa kasi hutaki andeleze alio anza kufanya mkuu?Tunampiga Everton easily kabisa!
Ward atakaa golini na kati ataanza Kolo na Skrtel lkn pembeni lzm awe Moreno na Clyne
Mbele ili kumpa match fitness lzm acheze dakika 90 Dan na Firmihno
I want mbaya wetu alietunyanyasha Aubemayang hahahahaKwa form ya Origi ya sasa, sidhan kama tuna haja ya kuspend hela kwa ST mwingine, nadhani Dembele atatosha kabisa, manake tuna DS, Origi, Ings na Bobby can play kama ST pia..add Dembele kwenye hiyo list, then striking force inakuwa balanced..
Ntakua na kengeza labda ile mechi mii naona Origi amafanya kazi ngumu kuliko huyo AubemayngI want mbaya wetu alietunyanyasha Aubemayang hahahaha
Mmmmh. Hongera sana
Teeeeehe teeehe asanteMmmmh. Hongera sana
Nimemuona SakhoTeeeeehe teeehe asante
Bado nadhani ni striker mtundu atafaa kucheza na origi incase sturridge ataendea na injuries zakeNtakua na kengeza labda ile mechi mii naona Origi amafanya kazi ngumu kuliko huyo Aubemayng
Akipata michezo mingi nazani atapata huo utundu kuliko kujaza wachezaji wa aina mojaBado nadhani ni striker mtundu atafaa kucheza na origi incase sturridge ataendea na injuries zake
Tuache na timu yetuNimemuona Sakho
nini tena?Tuache na timu yetu
But Aubemayang ni established striker kuliko Origi...Ntakua na kengeza labda ile mechi mii naona Origi amafanya kazi ngumu kuliko huyo Aubemayng
Origi hana hata mechi 8 tangu anze kucheza kama ndivyo huwenda akawa bola zaidiBut Aubemayang ni established striker kuliko Origi...
Hata ... kwetu usiwe unakuja kila Maranini tena?