Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,852
Ndoo yetu hii..fainali ilee
hao haO wanaosema ndio walitolewa naye..... alichomokea pembeni kule Away game Little Magician.so somebody said Cou ha-turn up kwenye big games, lol..
Thanks.......mna kibarua kizito cha kuiletea tena heshima England please itoeni kimasomaso ...... All the Best LFC & City.Thanks Madam football. I like your passion in football.
Kwenye mpira hamna kubahatisha banaa ila huwa tunatingishana tu kuambiana hayo maneno,udhaifu wa mpinzani wako ndo ushindi wako..... All the best LFC.........mi nimefurahi tu Klopp amekusaidia hujatukana tenampaka leo mpaka ss sijawaona hata ule msemo wa mmebahatisha hawajaja kusema sababu wanajua hatujabahatisha YNWA! ila Dortmund mie toka ile draw sikuwaogopa ila Villareall nimeona cheza yao kidogo itakuwa ngumu.

Yaah...kweli kibarua bado sio slope football haitabiriki hata kidogo. Forward ya hawa jamaa pia sio ya kibeza. Ukiwacheki Laliga they are 3 places above Sevilla with 12 pts difference. Hivyo ni wakaliThanks.......mna kibarua kizito cha kuiletea tena heshima England please itoeni kimasomaso ...... All the Best LFC & City.
Kitu kimoja watu hawakijui ni kuwa Mungu ni shabiki wa Liverpool...... Anayebisha amuulize F. ToresSemi final Liverpool vs Villareal. First-leg Spain, second-leg Anfield. A decent draw. Tumemkwepa Cup holder
Umetishaaaa mkuu!!Kitu kimoja watu hawakijui ni kuwa Mungu ni shabiki wa Liverpool...... Anayebisha amuulize F. Tores
Wengine watanambia mbona L. Suarez hajapotea lakini najua watakua hawajui kuwa alipata kibali cha Mungu.
Watu wasifanye masihara na timu ya Mungu.... wataaibika.
cc: BVB
Bcc: AC Milan

UCL
Man City vs Real Madrid
Bayern vs Atletico Madrid
Naona Madrid Derby kweny UCL Final
Yes Nawatambua Villareal siyo wadogo lakini mpira unadunda hope you will make it....Yaah...kweli kibarua bado sio slope football haitabiriki hata kidogo. Forward ya hawa jamaa pia sio ya kibeza. Ukiwacheki Laliga they are 3 places above Sevilla with 12 pts difference. Hivyo ni wakali
Eee Mungu ibariki sana Man City iinue juu toka mavumbini mpka kuketi na wakuu. .......Mimi ombi langu moja kuu tu Man City Bwana ninaamini umesikia .....Ee Mungu zibariki sana Bayern na Man City.......Baadaye Mungu wetu uibariki zaidi Bayern Munich
Kama haijakupendeza, ee Mungu, basi wabariki Atletico Madrid, Bayern na Man City.
Fumba macho yako Ee Mungu usiwaone Real Madrid......
Twakuomba utusikie
Amen!!
Waoga sana saa hii kuja nyumba hii zama zao zimeishampaka leo mpaka ss sijawaona hata ule msemo wa mmebahatisha hawajaja kusema sababu wanajua hatujabahatisha YNWA! ila Dortmund mie toka ile draw sikuwaogopa ila Villareall nimeona cheza yao kidogo itakuwa ngumu.
Hivi ikatokea scenario Mancity wakachukua UCL ila kwenye ligi wakawa wa 5 na Manu wa 4, alafu liverpool wakachukua Europa, england itawakilishwaje?Thanks.......mna kibarua kizito cha kuiletea tena heshima England please itoeni kimasomaso ...... All the Best LFC & City.
Sijaelewa swali lako kwamba England itawakilishwaje??Hivi ikatokea scenario Mancity wakachukua UCL ila kwenye ligi wakawa wa 5 na Manu wa 4, alafu liverpool wakachukua Europa, england itawakilishwaje?
Regulation za UEFA zinaruhusu maximum timu 5 kushiriki Uefa competition, hivyo ikitokea hivyo washindi wa Europe (City na Liverpool) wanaingia UCL moja kwa moja. Then waliochini kny msimamo wa ligi wanapigwa bench.Hivi ikatokea scenario Mancity wakachukua UCL ila kwenye ligi wakawa wa 5 na Manu wa 4, alafu liverpool wakachukua Europa, england itawakilishwaje?
Kwa Uingereza kwa mfano, Man U akichukua FA??Regulation za UEFA zinaruhusu maximum timu 5 kushiriki Uefa competition, hivyo ikitokea hivyo washindi wa Europe (City na Liverpool) wanaingia UCL moja kwa moja. Then waliochini kny msimamo wa ligi wanapigwa bench.
Kwa Uingereza kwa mfano, Man U akichukua FA??
Nilitaka kujua ikitokea hiyo scenario ni kwamba hizo timu zote bila kutazama taratibu za kiundani kabisa unaweza ona kuwa zote zimefuzu, nilitaka kujua kama england ingeweza wakilishwa na timu sita, ila kuna mdau hapo juu kanijibu.Sijaelewa swali lako kwamba England itawakilishwaje??
Hawatapigwa chini mkuu. Wataenda Europa. Wa sita na saba ndo itakula kwa mazimaRegulation za UEFA zinaruhusu maximum timu 5 kushiriki Uefa competition, hivyo ikitokea hivyo washindi wa Europe (City na Liverpool) wanaingia UCL moja kwa moja. Then waliochini kny msimamo wa ligi wanapigwa bench.