Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kushiriki nyie CL muwe wa 4 tu sababu Man City hawezi pata hata sare kwake kwa Madrid

Lkn MAJOGOO hata ww unajua yanaenda beba kombe May kule Uswis
Acha roho Mbaya nkamu gwangu iombee heri Man City mpira unadunda lolote laweza tokea....
 
Acha roho Mbaya nkamu gwangu iombee heri Man City mpira unadunda lolote laweza tokea....
Man City kompinya Madiridi nialu amele logili kwa kiswahili ninasema Man City kumfunga Madrid PAKA wote duniani waanze kuzaliwa na nundu

Mkijitahidi nafasi ya 4 ni yenu,karibuni CL bana sisi isha tangulia
 
Mdharau mwiba. ....... sisi tupo kama kawaida mwakani malengo ni kuchukua kabisa.
 
Tuna game ngumu na Yellow Submarine lkn Liverpool inamtegemea Klopp na insh'Allah tutasonga mbele
Tuombe tusiwe na injuries Mkuu,...
Liverpool na timu za spain ndio zake na ili uwe bingwa watoe vigogo...enheeee like tim flan ivi ilivyofanya jana

YNWA
 
Tuombe tusiwe na injuries Mkuu,...
Liverpool na timu za spain ndio zake na ili uwe bingwa watoe vigogo...enheeee like tim flan ivi ilivyofanya jana

YNWA
Leo namuona Captain Steven Gerald,nitafurahi kumuona huyu mtu ktk siku zake za mwisho kwenye soka!

LA vs Houston,nimesafiri nimekuja Texas

If you Red,you will die Red
 
Xabi Alonso Twitter yake niliipenda picture ya This Is Anfield. Abumayeng alipose pale kumaliza game alipajua kama This Is Anfield! ila yule dogo mkali hata Makhatarian.
 
City hamfungi Madrid hata games zote wachezee Ittihad
Fernando na fernandinho wanaenda kuzima midfield ya madrid, Navas anaenda kustopisha marcelo kupanda na de bruyne anazuia carvajal silva na Aguero wanaenda ku-torment pepe na ramos pale kati
 
Fernando na fernandinho wanaenda kuzima midfield ya madrid, Navas anaenda kustopisha marcelo kupanda na de bruyne anazuia carvajal silva na Aguero wanaenda ku-torment pepe na ramos pale kati
Ukicheza kwa target hizo Modric na CASAMIRO watachukua dimba lao!Then Mnyama,Bale na Benzema wanakupiga kama mtoto
 
Ukicheza kwa target hizo Modric na CASAMIRO watachukua dimba lao!Then Mnyama,Bale na Benzema wanakupiga kama mtoto
Naomba uiweke kwenye rekodi hiyo point hapo juu then utaniambia after both legs.

Madrid wanapata matokeo sana kwa sababu ya overlap ya marcelo sana na carvajal kama ukiwazima hao ni ngumu madrid kupata matokeo.

Kipigo cha kwanza kwa madrid kutoka kwa Wolfsburg ni kumchezesha danilo(alikuwa uchochoro kwa goli la pili) ambaye alikuwa too defensive ambapo ni tofauti na carvajal anaepata na kushuka kama marcelo

Second leg, zidane akaanzisha kikosi kile kile kasoro danilo ambapo carvajal alianza uliona changes mkuu Malafyale?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom