Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Asante mkuu kwa kufanya hivyo ngoja nimuulize na MosDef mkuu wewe huungani na Pazi?
hahahahaha, didnt see this loooool.@Ed

tangu aondoke Benitez, mambo ya Miracles nilikuwa nishayasahau..nilikuwa najua tushazama tayari..

Klopp got it wrong but akaturudisha mapema sana, hayo ndo mambo ambayo WORLD CLASS MANAGER, hufanya...

i apologise kwa kutokuwa patient, lol, nilisahau kuwa we have JURGEN NORBERT KLOPP as our MANAGER..

I love KLOPP man..

WE'RE GOING TO RULE EUROPE AGAIN MAN...trust me.
 
27 years ago today, 96 children, men and women lost their lives at Hillsborough. We will never forget them.

The thoughts of everyone at Liverpool FC, as always, are with the 96, their families, survivors and all affected by the tragedy.

7b28e55db89044dbb0ef17093645734a.jpg
 
mh .. i don't think so! Tusisahau ile ya Istanbul ilikuwa 3-0 down & was cup final .. tena dhidi ya akina Shevshenko, Maldini, Kaka, Crespo ... walipokuwa wangali kwenye viwango.
Ile ya May 25, 2005 Istanbul...was comeback of the century!
3-0 at half time against the best Italian giants, UEFA Champions League final...it is incomparable!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom