Way betterThis cameback ia better than Instanbul.....
They just remind me about agger and skrtel partnership at their best.....Lovren & Sackho they did
Mkuu usijali,kama pale Signal Iduna tulitoa sare basi ujue hii gemu ilishaisha.
Leo tunashinda tena goli zaidi ya moja lakini na wao ni lazma watapata goli,lets pray for Sakho and Mignolet though maana hawatabiriki.
mh .. i don't think so! Tusisahau ile ya Istanbul ilikuwa 3-0 down & was cup final .. tena dhidi ya akina Shevshenko, Maldini, Kaka, Crespo ... walipokuwa wangali kwenye viwango.Way better
Milner : Man of the Match,hii haina ubishiMilner amekitendea haki kile kitambaa leo, maana amecheza namba zote kasoro ya kipa
lol, Millie???? kwasababu ya 2 assists??Milner : Man of the Match,hii haina ubishi
i like origi man, but bado ana mengi ya kujifunza kupitia kwa Sturridge..Origi wat can I say, mzigo aliobebeshwa at his age and 2-0 down this boy kept his composure...haku panic no foul za hasira and got a goal and played well all 90 mins big up alot one for the future, klopp anajua ku inspire vipaji, wale waliokua wanasema hawezi kamwe kua kama sturridge watizema sturridge alianzia wapi...Origi head up he can be a legend for sure
CC MOSDEF