This cameback ia better than Instanbul.....
mmmh, sidhani mkuu..
today ilikuwa nzuuuri sana
But haikufikia ule uzuri wa GAMES za Olympiacos na ile ya final Ac Milan..
Istanbul ndo ilikuwa balaa zaidi, 3-0 at HT dhidi ya kina Shev, Kaka, Crespo, Maldini, Pirlo, Nesta, Dida, Cafu, seedorf etc..lol and we had DJIMI TRAORE, Mr. Baros, Cisse, Aging Smicer, Our Kewell, Unestablished Alonso,
AC MILAN walikuwa na team bomba sana Aisee..
unaikumbuka ile game dhidi ya Olympiacos ya Rivaldo?? SG anachomelea msumari wa 3 akipokea assist kutoka kwa Carragher??? hii ni baada ya magoal ya mmoja kati ya wachezaji chogiiii wa LFC Mr. Pongolle na Bwana mdogo Mellor, sad he had to retire mapema sana..
lile goal la GERRARD lilivyoingia commentator akapiga "OOHHHHHHHHHHHHHHHHHHH YAAAAAAAAA BEAUTYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY, WHAT A HIT SOOOOOOOOOOOON, WHAT A HIT!!!!!!!!!!!!!!!
leo commentator kajitahidi, BUT NOTHINGGG CAN BEAT THAT 04-05 MOMENT MANN...IT WAS PRICELESS..
ile kwenye final Istanbul, baada ya Alonso kurudisha goal tatu kwa kuiwahi ile re-bound ya penalty, Jon Champion akapiga " MISSION IMPOSIBBLE, ACCOMPLISHED"...
siku ile ilikuwa MENTAL man, afu few seconds later DUDEK akafanya SAVE moja ya HATARIII saaaana...ndo maana mpaka kesho tutaendelea kumkumbuka our DUDEK..
Maybe inaipiku ile come-back ya Westham kwenye FA cup, baada ya SG Kulevel the score, Commentator akapiga "WHATTTTT ABOUT THAT???"..
hahahahahahahahahaa!!!
leo inaelekea umefurahi sana
MartinDavid