mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
He had awful corner kickMilner amekitendea haki kile kitambaa leo, maana amecheza namba zote kasoro ya kipa
He had awful corner kickMilner amekitendea haki kile kitambaa leo, maana amecheza namba zote kasoro ya kipa
Asante mkuu kwa kufanya hivyo ngoja nimuulize na MosDef mkuu wewe huungani na Pazi?mie Napenda kumuomba msamaha Klopp kwa kusa awache hasira na midadi, midadi na hasira zake ndio zimetusukuma mbele Leo Sakho na Lovren wanafanya usingizi utakuwa mzuri leo naweza kupiga tatu Haters leo wanasura ya Michael Jordan with Cry Memes.