Pole baba.Mbona siwasikii mkimtaja Pirlo Joe Allen!??
siangalii mechi but I can tell...midfield haiko poa na pia magoli kuna uwezekano yamepatikana kupitia pairing ya central defenders kuwa weak....hawajazoeana.
Mnaonaje subs?
In Jurgen we trustMbona siwasikii mkimtaja Pirlo Joe Allen!??
siangalii mechi but I can tell...midfield haiko poa na pia magoli kuna uwezekano yamepatikana kupitia pairing ya central defenders kuwa weak....hawajazoeana.
tunajua mpira umeona eh kwamba tatizo sio mbele ilikuwa kati Pirlo na Lucas kuingia wamebana upenyo kati mazafantaaaaa safi sana, wale waliosema tunawaogopa Dortmund wapo wapi? sie ndio Original You Will Never Walk Alone!Atoe lallana aingie Sturridge, milner aingie Lucas (sina uhakika wake kwenye fitness)
Undeniable remarkable truth..Milner amekitendea haki kile kitambaa leo, maana amecheza namba zote kasoro ya kipa
This is anfieldLets keep dreaming instabul