Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

our world class manager katuua leo..shit tactics kwenye kiungo.
 
benching Sturridge kwenye game kama hii ni upuuzi..

na kumuanzisha Milner kwenye kiungo ni UPUUZI zaidi.
 
game its over ila mie sioni tatizo ni mbele alikuwa aweke Lucas mbele ya mabeki then Can atakuwa Huru pale Can anapata tabu akikosa Mpira Can nafasi kubwa yakumaliza Dortmund wanayo. i love Klopp ila apunguZe midadi na hasira. Dortmund usiwape upenyo, Can akikosa mpira hii game goli mbili zengine wanapiga weka Lucas toa Lallana au Forminho.
 
Atoe lallana aingie Sturridge, milner aingie Lucas (sina uhakika wake kwenye fitness)
 
Mbona siwasikii mkimtaja Pirlo Joe Allen!??

siangalii mechi but I can tell...midfield haiko poa na pia magoli kuna uwezekano yamepatikana kupitia pairing ya central defenders kuwa weak....hawajazoeana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom