Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp making changes to the backroom staff this summer, adding Bayern Munich's highly-rated fitness coach.
 
Klopp: "Dortmund can play better, but so can we. We have to do better."

Tonight

36da0fb99ccf1c1c5eba3a0517c9abbb.jpg
 
Leo kifakiwa kushinda hii ya Dotmund tutakuwa na uhakika wa kilitwaa hili kombe...
 
Leo kifakiwa kushinda hii ya Dotmund tutakuwa na uhakika wa kilitwaa hili kombe...


Mkuu usijali,kama pale Signal Iduna tulitoa sare basi ujue hii gemu ilishaisha.

Leo tunashinda tena goli zaidi ya moja lakini na wao ni lazma watapata goli,lets pray for Sakho and Mignolet though maana hawatabiriki.
 
Kwa sasa tatizo kubwa in kwa walinzi wa kati. Wakcheza vizuri tutakuwa na nafasi kubwa ya kuendelea na mashindano
 
Bye bye BVB...........YNWA (Thanks for the "YNWA song" support, thanks for Klopp)
 
Sturridge bench,atakuwa amenuna vibaya sana.

Unakikosi kinachoanza leo?

So Orig kaanza badala ya Sturrige, Haya makinda ya sasa ni balaa tupu. Ni kama pale ManU,Rooney anaitafuta kwa tourch nafasi yake baada ya Rash kuonyesha kile kinachopaswa kufanywa na Mshambuliaji namba tisa.

Ni ManU fan, but niko nanyi usiku huu

BACK TANGANYIKA
 
Kila la kheri wa jukwaa hili. Ombi langu tu msipate kombe lolote...sasa sijui mshinde leo au mfungwe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom