Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Mkuu umesahau kama bingwa Europe anacheza UEFA?Naona mnaikimbia UEFA
Mkuu umesahau kama bingwa Europe anacheza UEFA?Naona mnaikimbia UEFA
Acha ndoto basi, kwahiyo mtawatoa Dortmund auMkuu umesahau kama bingwa Europe anacheza UEFA?
Tusipo watoa aubameyang na reus hutaniona humu hadi summer..... Europe yetu hiiAcha ndoto basi, kwahiyo mtawatoa Dortmund au
Hapana mkuu!
Hao ni makamanda,working rate zao kubwa sana
Nahisi Benteke ndiye atakuwa mchezaji wa kwanza kuondoka LFC..hahhaaaa atakua ana-wish sana kutufunga ili ajione bora .... Kama itakua kweli Swansea namuonea huruma Ayew
Alijichanganya alipokuwa anahojiwa kwao na vyombo vyao vya habari akasema
“What’s annoying me the most, is that I would have never signed for Liverpool if I wasn’t the manager’s first choice.”
Also ile game tuliyo-lose kwa soton Klopp alimlaumu sana na hivi anavyooneshwa mlango wa kutokea hayuko sawa kabisa
likija suala la kuchagua kati ya LFC na Man city, he'll chose city coz wataoffer mshahara mwingi..Both Liverpool and Manchester City have made bids for Marc-Andre ter Stegen...
Mignolet's stats are better than Begovic msimu huu..he's not an upgrade..Kuna makipa kibao EPL ambao watafanya vyema wakija Liverpool
Keeper kama Forster
Keeper kama Begovic
Keeper kama Scheim(ingawaje baba yake ni Man U)
he's coming to LFC.Goetze mwenyewe anapenda kuungana na Klopp lkn bado yupo kwenye mkataba na miezi 6 ikibaki ndiyo unaweza jiamulia mwenyewe!
Yy ana mwaka bado kwa hiyo hata Bayern bado wana nguvu ya kuamua aende kwenye hela kubwa lkn Man City hawezi enda sababu kama Pep hakukupanga Bayern una uhakika gani atakupa namba Man City?
Its official, Smith, Barret, Pearce, Joyce, Jones, Bascombe, Mullock, Skysports, Honngton etc, wote wamereport..Goetze ana mazungumzo zaidi na klopp huwa wanawasiliana Mara kwa mara ila lfc haijaonekana kuwa linked official tusubiri tu maana kila siku kuna kahabari kake anavyofeel ku-work na klopp
our Johan cruyffCongratulations to Adam Lallana, who has been named PFA Fans' Player of the Month for March!
![]()
StrurridgeVipi mnataka kumuuza Coutinho au Gotze anakuja kumrithi Benteke ?
GOT-DHAAAAAAAAAAAAAAAAGotze wants to jump on the running train
Lol...hendo is useless..nitajie team 6 za juu pale EPL ambapo Hendo anaweza akaanza..Kweli,Wengi wa kopites hawaoni work rate ya hawa jamaa,...angalia hendo kafanya tackles 8 wakiwa na cou'...
Lol, time flies, Leo Lovren ndo alikuwa nacover mistakes za Sakho...Sakho had a shocker today, but i'd still keep himDaaah beki yetu lahaulaaa!Kwa kweli Klopp ana kazi kubwa sana May hii
he's been treated like shit..been doing so good for u21s..but Klopp picks Skrtel over him..Hivi Caulker aliishia wapi