Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Begovic sidhani kama Chelsea watamuachia maana Cou naona kama PSG wanamtaka summer hiiKuna makipa kibao EPL ambao watafanya vyema wakija Liverpool
Keeper kama Forster
Keeper kama Begovic
Keeper kama Scheim(ingawaje baba yake ni Man U)
Hapo juu I like foster
Stegan tatizo tulikuwa linked kitambo sana