Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Henderson and Benteke should be the first players to leave LFC..

Henderson is on 100k p/w
Benteke is on 120k p/w

WHILE
Coutinho is on 75k p/w
Firmino is on 90k p/w
Can is on 60k p/w

ila Rodgers bhana, he paid £32m for Benteke na kumpa mshahara wa 120k...
 
Gundogan hatakuwepo kwenye game yetu dhidi ya Dortmund alhamis

Dah! stewart angekuwa fit ningemuazisha kwenye hiyo game..him and Can kwenye Middle..
 
lol, doping scandal inaanza kuchukua nafasi..English medias zimechelewa kweli Aisee kureport hiki kitu..
 
Im football fan, huwa napost kwenye kila jukwaa la football nikiwa na cha kupost.Muulize Pazi au angalia post za miaka ya nyuma hapa sijaanza kupost leo
Utawaweza hawa Loserfools!! Mara Klapp kabadili timu! Mara oh Klapp anahitaji wachezaji wake! Mara oh tutamaliza top 4! Mara tusubiri msimu ujao Klapp akiwa na timu yake!

Hivyo wamepaniki chifu! Mizuka inazidi kuwaishia. Usishangae wakikwambia hivyo. Wanajifariji
 
Klopp has been a better manager kuliko Van Gaal since 2010 (bisha kwa stats)

Klopp mpaka sasa alichobadili ni momentum ya team, hajaweza kuwa na transfer window hata moja, LFC fan ambaye atamjudge Klopp kwa msimu huu atakuwa hana akili..tunasubiri afanye transfers zake, awe na pre-season yake na apate right players watakao-fit katika mfumo wake..

Klopp bado hata hajaspend £250m+ kama legend wetu Van Gaal..
 
Kutumia pesa tuu sio kigezo cha kutegemea matokeo. Leicester wametumia milioni ngapi?? Muda ndio unapima uwezo wa kocha. Hivyo kulinganisha uwezo wa makocha hawa wawili inabidi kwanza walingane kipindi katika vilabu vyao. Liverpool wanaweza ingia sokoni na ikawachukua muda mrefu pia kwa wachezaji kufit / kusettle na kujenga partnership katika kikosi.

*TOO EARLY TO Judge *
 
Moja ya kitu kinachofanya LVG aonekane ni bonge ya dissapointment pale utd ni huyo Ranieri wa Leicester..

Mafanikio ya club yanaanzia katika kurecruit the Right players watakao-fit mfumo wa manager husika na siyo, kusign tu big names, LVG amefail kwenye hilo, kaspend zaidi ya £250m na bado hana uhakika wa kumaliza Top 4 msimu huu..na bado ataongezewa fungu jingine kubwa sana summer hii..
 
Utawaweza hawa Loserfools!! Mara Klapp kabadili timu! Mara oh Klapp anahitaji wachezaji wake! Mara oh tutamaliza top 4! Mara tusubiri msimu ujao Klapp akiwa na timu yake!

Hivyo wamepaniki chifu! Mizuka inazidi kuwaishia. Usishangae wakikwambia hivyo. Wanajifariji
Teeeehe teeehe sawa mkuu
 
This season we have about four players who makes others looks stupids starting with Milner (who runs like a headless chicken),Hendo(the midfielder who doesnt know where pass),Sakho(i wonder how he is up playing for lfc),Mignolet(he makes the rest of his teammates nervous).

Na vile vile tuna zaidi ya robo tatu ya wachezaji uwanjani hawawezi kupiga vichwa wala kucheza mipira ya juu,ni aibu kuona kila cross inapopigwa au corner mashabiki tunakuwa na waswas.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom