Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,102
- 1,909
OK sir.....
Kop embu sasa niambie ni wachezaj gani ungependa wasajiriwe na akina nani waondokeimagine wanting Sturridge to leave LFC...mambo kama haya ndo yanafanya club yetu irudi nyuma baada ya kusonga mbele..
We gave Lovren a lot of sticks last season, but sahiv akiumia kidogo tu tunachanganyikiwa (but bado hatujifuzi kuwapa Players muda)
Leo asubuhi nimesoma sehem, nikaona some LFC fans wanaquestion ujio wa Gotze, hahahahah, na ukiwaambia Hendo hafai wanakubishia..na hapohapo wanataka team icompete..
origi na ings ni decent players, but bado hawajafikia uwezo wa kuiongoza LFC's attacking line,
Wachezaji ambao ningependa wasajiliweKop embu sasa niambie ni wachezaj gani ungependa wasajiriwe na akina nani waondoke
looool, hahahaha Rodgers alisema alikuwa anasubiria kazi kwenye club nyingine kubwa, hahaha imekuwaje anarudi Swansea??Some report claims BR summer hii atarudi EPL yawezekana ikawa ni Swansea
Hahahaa ingekua crazy thing if barca wakimpa mkataba .... tena unaweza kuta akaibuka na timu itakayopanda darajalooool, hahahaha Rodgers alisema alikuwa anasubiria kazi kwenye club nyingine kubwa, hahaha imekuwaje anarudi Swansea??
kipindi kile some lazy Journals linked him with a Move to Barcelona..hahaha
So sad Man..Despotic la corona wameanza mazungumzo na lfc kuhusu saini ya huyo dogo pamoja na Illori
![]()
Hahahaha..Aende Swasea tu tumrudishie deadwoods zake zote..Hahahaa ingekua crazy thing if barca wakimpa mkataba .... tena unaweza kuta akaibuka na timu itakayopanda daraja
Dah poa kop in klopp we trust. Ngoja tuendelee kusapot chama letu no matter watWachezaji ambao ningependa wasajiliwe
-Ter Stegen/Leno (GK)
-New Left-back (Back-Up)
-Xhaka (Defensive Mid)
-Zielnski (Creative Mid)
-quick and skillful attacking winger (Kostic, ousmanne dembele etc)
-Mario Gotze
Wachezaji ambao ningependa waondoke
-Bogdan
-Skrtel
-Kolo
-Lucas
-Henderson (kama ingekuwa possible)
-Milner
-Jose Enrique
-Lallana
-Benteke
-Mignolet (kama ingekuwa possible pia)
-Jordan Ibe (Loan)
-Rossiter (Loan)
-Pedro (Loan)
pia it seems Klopp wants another Centre-back, and Niklas Süle is highly rated, i'd take him, but that means ndo utakuwa mwisho wa Lovren na Gomez(?)..Kama Süle akija, kutakuwa na Sakho, Matip, Lovren, Gomez, (Süle)..5 CBs.
Lets wait and see..
Hahahaha..Aende Swasea tu tumrudishie deadwoods zake zote..
Lol, vipi kuhusu Benteke? nmeona analalamika balaa..
Morata bei yake kati ya 25-35 now cz ana msm mbovuKwa uhaba wa STs wa aina hiyo, ukienda Juve pale unafikiri utamchukua Morata kwa sh.ngapi?
Goetze ni kama deal done? Maana naona week hii we have been strongly linked nae sanaBoth Liverpool and Manchester City have made bids for Marc-Andre ter Stegen...
Kuna makipa kibao EPL ambao watafanya vyema wakija LiverpoolBoth Liverpool and Manchester City have made bids for Marc-Andre ter Stegen...
Goetze mwenyewe anapenda kuungana na Klopp lkn bado yupo kwenye mkataba na miezi 6 ikibaki ndiyo unaweza jiamulia mwenyewe!Goetze ni kama deal done? Maana naona week hii we have been strongly linked nae sana
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app