Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hapana mkuu!'Milner and Hendo' two shits in the middle.
Hao ni makamanda,working rate zao kubwa sana
Hapana mkuu!'Milner and Hendo' two shits in the middle.
indeed boss,kwanza deal yaeza kua easy to be doneAdrian should be number one target!
Kweli,Wengi wa kopites hawaoni work rate ya hawa jamaa,...angalia hendo kafanya tackles 8 wakiwa na cou'...Hapana mkuu!
Hao ni makamanda,working rate zao kubwa sana
wait for Klopp Squad,..Akiondoka Coutihnoa sijui tutaishi vipi
Yaa wengi sana hapo wataondoka aisee!wait for Klopp Squad,..
full presha,nahic ni kukosa SOLID CDMDaaah beki yetu lahaulaaa!Kwa kweli Klopp ana kazi kubwa sana May hii
still injured,we mic him...Midle ishakufa lukas wapi sasa
Lucas tuna m miss sana hapo katikati!Hata sare hapa tukipata tushangiliestill injured,we mic him...
namuhusudu sanaa his playing is very God,...!!! tangu akiwa Fulham tuli link nae sana under Roy Hodgson EraDembele bonge ya mchezaji dah
mkuu nilishawahi andika apa,kawimbo flan iviHii timu yetu hii
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Coutinho ikija timu ya maana either madrid au barca tumuache aende tumkuu nilishawahi andika apa,kawimbo flan ivi
"Oooohhh liverpool my team,you've a fever of consistency"
Sawa mkuu nitakuja jukwaani kwako na vi-memes vya kutoshaBado haijawahi kunipa pressure
Naona mnaikimbia UEFAHivi Caulker aliishia wapi