Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Utawaweza hawa Loserfools!! Mara Klapp kabadili timu! Mara oh Klapp anahitaji wachezaji wake! Mara oh tutamaliza top 4! Mara tusubiri msimu ujao Klapp akiwa na timu yake!

Hivyo wamepaniki chifu! Mizuka inazidi kuwaishia. Usishangae wakikwambia hivyo. Wanajifariji
Aliye panic ni Man U
Kutoka kuwa EPL kama mali yao hadi kuombea wamalize angalau nafasi ya 4 kwa mwaka wa 3 mfululizo sasa!

Kinacho wafanya m panic zaidi ni kuwa kila nafasi kasajiliwa mchezaji star na nafasi zingine wapo hadi watatu,na Di Maria wa Milion 60 akaondoka LKN hamna lolote la maana!

Falcao alilipwa bei gani hapo?
 
Liverpool ndio walifanya kombe lao ,alivyokuja SAF akawaondoa kwenye ramani kabisa.
Ni kweli tunastrugle lakini nyie bado hamjafufuka kabisa
 
Klopp has been a better manager kuliko Van Gaal since 2010 (bisha kwa stats)

Klopp mpaka sasa alichobadili ni momentum ya team, hajaweza kuwa na transfer window hata moja, LFC fan ambaye atamjudge Klopp kwa msimu huu atakuwa hana akili..tunasubiri afanye transfers zake, awe na pre-season yake na apate right players watakao-fit katika mfumo wake..

Klopp bado hata hajaspend £250m+ kama legend wetu Van Gaal..
Why unachukua reference ya kuanzia 2010 ?
 
Liverpool ndio walifanya kombe lao ,alivyokuja SAF akawaondoa kwenye ramani kabisa.
Ni kweli tunastrugle lakini nyie bado hamjafufuka kabisa
Kuna dalili yyt ya kurudisha glory yenu kwa miaka 10 ya hivi karibuni kwa policy zenu hizi mpya za kununua kila star ktk dunia hii?
 
Unatia huruma chifu...
Anayetia huruma nahisi ni ww ambaye mwakani pia haupo CL football!

Mm nachukua Europa nacheza CL mwakani,ww mafanikio yako mwaka huu ni kumfunga Liverpool home and away EPL

Kweli nguvu ni kitu cha kwisha aisii!!
 
All the best kwenye Europa
 
Anayetia huruma nahisi ni ww ambaye mwakani pia haupo CL football!

Mm nachukua Europa nacheza CL mwakani,ww mafanikio yako mwaka huu ni kumfunga Liverpool home and away EPL

Kweli nguvu ni kitu cha kwisha aisii!!
Sawa kaka..kila la kheri...kujifariji ni jambo la kheri kwa afya..
 
Inabidi umpige Everton leo ili mjiweke nafasi nzuri Europa sababu kunbuka bingwa wa FA atapata nafasi moja na likely akawa ni Palace

Nafasi mbili pia zinawaniwa na Soton,Stoke na WHU,kwa kweli mnahitaji kushinda leo sababu week ijayo Hurricane Kane anakupiga
 
Why unachukua reference ya kuanzia 2010 ?
ndiyo miaka ambayo Klopp alianza kuwa recognized..

LVG yupo katika kundi Moja na wazee wenzake kina Fergie, Cruyff (R.I.P), Don Carlo, Jupp Heynckes, Del bosque, Juande Ramos etc..

Don Carlo, Fergie etc been doing better ever since, Fergie retired with honour (best Coach to ever manage a football club "no bias), Don Carlo (our fellow Kop) been killing it mpaka sasa..but LVG has regressed a lot (no disrespect) he's a legend, but Klopp has been better than him tangu 2010 unlike Don Carlo and Fergie.
 
Naona unazunguka but 2010 ndio mwaka Klopp alianza kuchukua ubingwa,miaka nyuma ya hapo unajua alichofanya ndio maana hukutaka kuiweka
 
Inabidi umpige Everton leo ili mjiweke nafasi nzuri Europa sababu kunbuka bingwa wa FA atapata nafasi moja na likely akawa ni Palace

Nafasi mbili pia zinawaniwa na Soton,Stoke na WHU,kwa kweli mnahitaji kushinda leo sababu week ijayo Hurricane Kane anakupiga
Everton tayari
 
Everton tayari
Hongereni sana!
Points mlizo nazo leo zitadumaa at least kwa one week sababu week ijayo hata ww na Nzi na RRONDO na everlenk na cute b mnajua kama mmeisha poteza kwa Spurs

Too bad!Kweli inasikitisha sana yaani Man U kweli kujua kabisa kama anapoteza kwa Spurs?Nguvu kitu cha kwisha jamani
 
Naona unazunguka but 2010 ndio mwaka Klopp alianza kuchukua ubingwa,miaka nyuma ya hapo unajua alichofanya ndio maana hukutaka kuiweka
Ndo maana nikasema 2010, ndiyo alianza kuwa recognized..sijaweka reign yake ya Mainz wala alivyotake over Dortmund.
 
Jamani kwa performance ya MS kwenye mechi dhidi ya Southampton....naona future yake pale LFC inaelekea ukingoni.
 
Klopp on Sturridge's reaction to being subbed: "You have to think ‘yes, I’m the best’. I like this – as long as he doesn’t come off the pitch and do something really strange like kicking me from behind.”
 
a1d185c4d6e4a4d77288eca53819a272.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom