Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sure thing ila hii 'seriously' nilikua na-question pale uliposema sell cou kwa kua gotze ndiyo replacement yake na-dought kama ataweza kuwa kwenye form pale epl kwa msimu wake wa Kwanzaa (kama sign yake ikitiki)
Nakupa kionjo kimoja kumbuka kua klopp alijenga strong dormtund side around goetze ambae alikua only 19..he is a prodigy nakupa data za
Gotze & Coutinho msimu huu

Gotze
12 games... 5 goals 3 assists ...amecontribute goal 8 kweny 12 games

Coutinho

32 games
Goals 9 assists 5...
 
Let's give it time
 
Bora aende huko labda anaweza kuw useful kwao kwetu ni mtu dakika 60 tu anafanyiwa sub
Mak89 pia Tukumbuke saizi Europe hamna strikers weng wa maana sahivi...myb lacazette.
Or batshuayi or morata but huyu ndo msim wake wakwanza kufanya vizur...huenda ni one season wonder pia sioni nafasi ya klopp kusajili striker cz kuna Origi ings firmino wanatosha kuzingatia we play with only one striker kma DS ataondoka
 
Tunahitaji kufanya usajili wachezaji kwenye dirisha kubwa la usajili Ninapendelea waje wachache kama 4 wachezaji wenye ubora wa juu katika maeneo muhimu

kuliko idadi kubwa ya average wachezaji wa wastani chini kwa kila nafasi kwenye kikosi kama alivyofanya (Brendan Rogers)
Lakini Kama tungekuwa na 100m+kuuzwa kina hendo Milner benteke, Lucas skertl &DS

kwa mfano napenda kuona ni usajili wetu umegawanjika katika mafungu 4 au 3

tupate (Winger) 1 top class kma (Reus or sane, dembele ) lkn kwa muono wangu Winger wengi wenye kasi na maudambwi udambwi wako ligi ya French or Germany pia yafaa kutambua. Nafasi Nyingine zaidi ya kwamba, tuna Kent na Ojo ambao ni makinda wa kusisimua zaidi kati yao mmoja ambaye anaweza Intergrated katika kikosi cha kwanza mwakani

Kiungo wa kati wawili kati (Neves, Tielemans, Gundogan, Xhaka) kama tutawakosa wa juu tuwachukue wa chini kina (Paredes or piotr pia nasikia t kroos) anataka kuondoka Madrid naye pia anafaa) kwa sehemu ya kiungo bajeti iwe 65 pound back up yao kina Grujic / Pedro / Brannagan / Stewart note nimesema wawili kati ya hao

Pia kipa mpya sababu kila mtu humu anajua makosa ya Simon Mignolet yafaa awe back up ya kipa mpya

Napenda pia wachezaji mediocre wasogezwe sokoni sababu kubwa kuruhusu wachezaji wetu wadogo zaidi I mean Academy wawe na nafasi ya kumvutia kocha na kupata michezo mingi ya kucheza kwa ajili maendeleo yao kisoka

Pia napenda tupate mshambuliaji mpya, lakini sio muhimu sana sababu tuna Studge / Ings na Origi firmino false 9 pia tumtambue mfumo wa klopp anapenda kucheza na striker mmoja tu mbele ndio Mahana nimesema sio muhimu kusajili

nafasi ya kiungo mshambuliaji tunao wengi sana nadhan yatosha ajili ya msimu ujao angalau. Tuna wingi wa ubora katika eneo kiungo mshambuliaji lakini kama inatakiwa kaongeza mtu yafaa (Gotze) achukue nafasi

Kati ya viungo watakuwa kipaumbele changu,waondoke nadhani Milner / Allen / Henderson Lucas sabb ya umri wake ni katikati ya uchovu na mwili kushindwa kujibu mapigo Ninapendelea kuona 4 yao wanaondoka, na kusaini 2 kiungo wa
Kati top class najua ni kazi ngumu kufanya ivyo katika hali halisi

Skrtel ameonyesha kwamba yeye si bidhaa nzuri tena sababu ya umri wake sawa na hali Toure njia yao nyeupe nje pia ushirikiano wa Lovren na Sakho ina inaonekana kuahidi makubwa mbeleni , na kuongezeka Matip na kurudi kwa Gomez Nadhani tunapaswa kuwa ok katika eneo hilo ajili ya msimu ujao

Full migongano kuhusu clyne na Flanagan mimi kama mimi kwangu Clyne namuamini yeye ni wa kuaminika sana, kama nafasi yake no 2 Kwa msmu ujao lkn kma mambo yatagoma nadhani tunaweza kumweka flannagan

Kuhusu Moreno upande wa 3 ni hivyo zisizokuwa na uhakika, lakini napenda tu tuboresha nafasi hii kwa mara nyingine sababu namna, Brad Smith ni uwezo wake yuko nyuma sana kwa Moreno yafaa aje mtu lkn sio lazima sana hapa juu ya kocha wetu

.
 
Chirivela umemsahau mkuu au yeye aendelee kusubiri?Dogo ni fundi sana asee
 
Klopp ana sifa ya kumbadili normal player kuwa World class!Huyu Origi na Ings watamshinda DS muda si mrefu!

DS determination yake kuitetea LVFC famous jersey ni ziro kabisa
Origi na ings WILL never katika maisha yao ya soccer kuwa better players and strikers than Sturridge..

kinachotuumizaga LFC fans ni kutokuwa na subira na wachezaji wetu wenye talents, kipind kile DS anafunga for fun hayo maneno hayakuwepo kabisa, but kipind hiki ambacho jamaa anafight kuhusu fitness yake ndiyo kwanza tunamgeuka.

DS ni injury prone player, na kipind hiki alikaa nje kwa muda mrefu sana kutokana na injuries, na sasa Klopp anajaribu kuimanage hali yake vizuri ili kusiwe na setbacks za hapa na pale, mchezaji hata ukiwa mzuri kiasi gani kama fitness yako ni tatizo, huwezi kucheza vizuri..DS alichopoteza ni pace tu uwanjani, kitu ambacho Klopp anajitahidi kuangalia na kukimanage, DS alikuwa tayari kurudi uwanjani baada ya kupona ile mara ya pili alivyotoka states, but Klopp akagoma (hii ilikuwa katika harakati za kumrudisha uwanjani akiwa full)..na tangu DS amerudi hatusikii akiumia umia tena, mpeni muda ajijenge upya, tatizo hatuelewi kuwa DS ni very talented striker, utamuuza DS na kumnunua nani? Laccazete??, au huyo Lucas sijui wa Huko Argentina?? mpeni muda DS, nakumbuka kipindi kile some LFC fans turned their back kwa Firmino, wakati alikuwa anachezeshwa kama RWB na Rodgers na alipokuja Klopp, kipind kile cha mwanzo alikuwa anacheza na injury ya mgongo, but LFC fan wakawa wanamponda, Lakini sahiv ndio Tegemeo...

DS akiwa fit kabisa, kwenye EPL ni 2nd best ST nyuma ya Aguero..Van persie alihangaika sana na Injuries but alipopona vizuri tuliona alichokifanya pale Arsenal na utd...talents ni talents tu, ndo maana Wenger alim-'nga'ngania Van persie muda wote ule coz alikuwa anaujua uwezo wake, na ndio anachokifanya Klopp kwa DS sahiv..

kusema DS hana determination ya kuichezea LFC ni kumdharau jamaa, DS kakaa nje ya uwanja kwa muda gani?? huwez kutegemea jamaa arudi tu uwanjani akiwa na pace ile ile au awe anaufata mpira kwa 100% miguuni mwa opponent player katika kipind hiki ambacho anapigana kuirudisha fitness yake, akiumia tena unafikiri anachokifanya Klopp juu ya DS kwasasa kitawezekana? na Klopp anamchezesha DS kutokana na pressure ya Mashabiki na kutoka kwa DS mwenyewe.

tumeondokewa na talents kibao for the past 7 years, na sahiv tunataka DS auzwe, wakat team ina kina Henderson..

Tubadilike.
 
Huyu Coutinho mnaemuona sahiv hana muda mrefu, Barcelona watamfata..kwahyo mnadhani kwa kuwa Klopp ni WC manager ndo anaweza kumzuia Cou kwenda Barca??

Huyo Firmino ni shabiki wa Barcelona pia, and he's only 24, umri ambao alikuwa nao Suarez wakat anakuja LFC, na suarez kaondoka akiwa na miaka 27..

na sahiv mnataka DS auzwe, strikers wenyewe ambao tumekuwa linked nao ndo hao kina Bobby Wood na huyo Lucas sijui..
 
dunia itakuona upo reasonable ukiwa unapinga uwepo wa kina Henderson, Milner, Lallana, Skrtel, Caulker, Lucas, benteke, Mignolet, Flanagan, Enrique, Bogdan etc, lakin siyo uwepo wa Talented ST kama DS pale Liverpool..
 
Strikers aina ya Sturridge ni wachache sana...Benzema hapa katikati alipata scandals kibao ambazo kwa namna moja ama nyingine ziliharibu pia image ya Madrid, but Madrid hawakumuachia..kwanini?? kwasababu kwasababu STs kama wale ni wachache sana kwasasa..
 
Kwa uhaba wa STs wa aina hiyo, ukienda Juve pale unafikiri utamchukua Morata kwa sh.ngapi?
 
Auba ni good player, but kiukweli siyo Standard ya madrid, but Madrid wants him na will pay a lot of money kuipata sign yake, kama siyo madrid basi ataishia City au PSG..and sisi LFC fans tunaquestion uwepo wa DS lfc..
 
Tujifunze kuzipa muda talents zetu, mimi mpaka leo bado sijamkatia tamaa Markovic, na sitokuja kumakatia tamaa Moreno..sikuwahi kumkatia tamaa Suso, na wala simkatii tamaa Joao (ni talented player but number anayocheza kuna superior players than him) na MPAKA LEO sijamkatia tamaa Luis Alberto, kama akiondoka aondoke tu kwasababu ya game time, lakin ni very talented player..Ilori anakosa game time kwasababu ya fitness issues pia, but sikuwahi kumkatia tamaa jamaa, tatizo la majeruhi ya mara kwa mara limemfanya kushindwa kuonyesha ubora wake kwa 100%..
 
Kuna vitu havina uhusiano na talent.Ubinafsi,uchoyo na superiority inayosababishwa nadhani na kaungereza.Hivi vitu haviisaidii timu hata kama mtu ana talent.Wengine tunapenda tim ipate mafanikio sio mtu mmoja tu ndo atafute 'u his highness' hata kwa kuinyima timu nafasi ya ushindi.

Unaona sturridge anapewa pasi ya mwisho na origi.Anafunga bao anashangilia bila hata credit kwa mtoa pasi.
Unaona origi yupo kwenye position ya kuscore lkn sturridge ana opt kufunga kwenye impossible angle.Timu inakuwa imekosa goli hapo!
Sasa hizi ni tabia mbaya ambazo hata mtu uwe mzuri vipi sisi hatutaki hayo mauzuri yako kama hauisaidii timu ishinde ipate points ipande kwenye msimamo.Kuna maana gani sasa we unataka kufunga wewe tu na unashangilia alafu mechi inaisha droo au mmefungwa...kwa kuwa we umefunga unajisikia fresh tu....si ujinga?Sasa ndo alivyo Sturridge huyu wa sasa.Angalia hata expression ya uso wake pale ambapo goli limefungwa namtu mwingine huku ye yupo....jamaa anatulostisha kwa sasa.
Hizi tabia hazisababishwi na ufiti wala huo uinjari pruni wake.Zipo pale hata aweje
 
Hakuna ST duniani ambaye siyo selfish, hakuna ST duniani ambaye atakuwa yupo katika eneo sahihi la kujaribu kufunga, then atoe pass kwa mwenzake ndani ya box labda aone hakuna uwezekano wa kufunga..

Kila mtu ana njia yake ya kushangilia goal, style ya Danny ya kushangilia imekuwa hivyo for ages, sioni tatizo HATUANGALII post-matches presser na huwa hatusomi tweets au instagram posts za wachezaji baada ya games ambapo huwa wanapeana complements za kutosha..siyo lazima amfate yule aliyempa assist, ingekuwa hivyo Kina Giroud wangekuwa wanamkimbilia Ozil kushangilia nae kwa kila goal..

Kama unataka mafanikio ya LFC, huwez ukawa unaquestion uwepo wa DS kwenye club, DS ni mmoja kati ya wachezaji walioifanya LFC icompete tena, tabia za mchezaji hazitakiwi kulinganishwa na anachojikifanya kwenye uwanja, Mtu kakumbana na majeruhi kibao lakin mnataka acheze tena kama mwanzo, kwa pace ileile na uimara ule ule, yule ni human siyo robot, Klopp anajua anachokifanya kwa Sturridge, ndo maana kampa role ya Ghost Striker kwa sasa, DS hatakiwi kukaba mipira kwa 100% na hatakiwi kucheza zaidi ya dk75..medical team na Klopp wanadeal na fitness ya DS, wanajaribu kumrudisha DS wa kabla ya injury, na haiwez kuwa ndani ya muda mfupi, kuna wachezaji kibao wamestahafu baada ya injuries za mara kwa mara, kuna wachezaji ambapo viwango vyao vilishuka sana baada ya kukumbwa na majeraha, tumeshuhudia kina Aurelio career zao zikiharibiwa na injuries, na sahiv mnataka mtu aliyekaa almost 2 seasons kwa ajili ya majeruhi ya mara kwa mara arudi uwanjani akiwa yule yule?? msimu wa 2014/15 alicheza games ngapi? na msimu kacheza games ngapi?..asa mtu kama huyo unafikiri atarudi na pace ileile?? DS ana tabia ya kujisikia, hiyo ndio tabia ya Skrtel na Emre can, hiyo tabia ndo wanayo wakina Ozil, Depay, etc..sasa sioni tabia zao zinaaffect vipi team?? DS ni mchezaji ambaye alipigania mpaka Ibe akapandishwa first team, DS ni mmoja kati ya wachezaji wa kwanza kabisa kumkaribisha Firmino LFC, DS ni mchezaji wa kwanza aliyeonesha furaha yake ya wazi kabisa kwa kina Jonathan wa Sunday Times kuhusu Ujio wa Klopp, ni DS pekee aliyeponda waziwazi uamuzi wa sterling kuondoka namna ile pale LFC, ukiachana na SG ambaye alikuja kuongea baadae kwenye media (tena hakuponda), nakumbuka kipindi kile ile game ya beskitas ambapo Balotelli alimpokonya kwa nguvu mpira captainhendo ili apige penalty, DS shouted at him palepale kwa kumkosea heshima captain wetu mpendwa..leo hii mnamgeuka jamaa kisa tu anastruggle kuhusu fitness..

Majigambo wanayo kina Ibra wa PSG, yule anamponda mpaka mwenzie cavani kwenye medias, yule anasema PSG ilizaliwa baada ya waarabu kutake over, huko ndio kujisikia, siyo kwa sturridge kutokushangilia goal na aliyempa assist, vipi kuhusu skrtel ambaye kuna siku anaweza aamke aende mazoezini na asiongee na wenzake mpaka mazoezi yanaisha?

kuna ST selfish akiwa kwenye box kama Aguero pale England??
 
imagine wanting Sturridge to leave LFC...mambo kama haya ndo yanafanya club yetu irudi nyuma baada ya kusonga mbele..

We gave Lovren a lot of sticks last season, but sahiv akiumia kidogo tu tunachanganyikiwa (but bado hatujifuzi kuwapa Players muda)

Leo asubuhi nimesoma sehem, nikaona some LFC fans wanaquestion ujio wa Gotze, hahahahah, na ukiwaambia Hendo hafai wanakubishia..na hapohapo wanataka team icompete..

origi na ings ni decent players, but bado hawajafikia uwezo wa kuiongoza LFC's attacking line,
 
imagine wanting Sturridge to leave LFC...mambo kama haya ndo yanafanya club yetu irudi nyuma baada ya kusonga mbele..

We gave Lovren a lot of sticks last season, but sahiv akiumia kidogo tu tunachanganyikiwa (but bado hatujifuzi kuwapa Players muda)

Leo asubuhi nimesoma sehem, nikaona some LFC fans wanaquestion ujio wa Gotze, hahahahah, na ukiwaambia Hendo hafai wanakubishia..na hapohapo wanataka team icompete..

origi na ings ni decent players, but bado hawajafikia uwezo wa kuiongoza LFC's attacking line,[/QUOTE
Kop embu sasa niambie ni wachezaji gani ungependa waje lfc na akina na i waondoke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom