Yaani huyu Henderson na yule Benteke, huwa nawaona kama walikosea njia kuja Liverpool.and SundayTimes are saying Klopp is ready to offload Henderson....Spurs are interested.
Kuna muda una maneno ya busaraBora wafanye hivyo. Kila LA kheri katika shughuli yakuwatafuta hao viungo mnaowataka ili timu yenu iwe nzuri.
ili swala liko serious sana aisee toure mwenyewe kesha amua hivyo..ngoja tuone
..maana nmesikia juzi mashabiki wa mancity wanalaumu uchezaji wake
Hili suala la Yaya Toure ni serius?
sana sana Benteke, lakin alishauriwa na Tim Sherwood kuwa LFC haitomfaa, but kwa upande mwingine mchezaji gani wa Aston Villa angekataa move ya LFC tena kwa mshahara wa 120k per week??Yaani huyu Henderson na yule Benteke, huwa nawaona kama walikosea njia kuja Liverpool.
NO...next move yake itakuwa ni China/US...huyo na Fernando Reges zote ni BS reportsHili suala la Yaya Toure ni serius?
We're NOT signing him Jaslawsili swala liko serious sana aisee toure mwenyewe kesha amua hivyo..ngoja tuone
..maana nmesikia juzi mashabiki wa mancity wanalaumu uchezaji wake
Toure hakuondoka Barca vizuri kipindi cha Pep..situation yake ilikuwa ni kama ya Ibra wakat anaondoka Barca...hakukuwa na maelewano mazuri na Pep.Jamaa anaondoka nini etihad???
Asante sanaKuna muda una maneno ya busara
Nani anawahujumu?Mmeona hujuma ya kwanza dhidi ya Liverpool kwa wachezaji wetu?Lovren kacheza dakika zote 90 leo na Israel!
Hii haikubaliki na kocha wa Uingereza huwa anamchezesha DS dakika zote 90 badala ya 45!
Inaweza ikawa hata Wenger maana anajua mm namkamata EPL,hajaniacha mbali!!Nani anawahujumu?
Katumwa na timu gani kuwahujumu ?
Have to watch one of them!YNWA for lifeLiverpool will face Chelsea,Barcelona & Ac Milan in ICC this summer...
Ed tambua Mil 45 nying sana for sturridge ambae hayuko reliable fitness wise...Lots of arguments for and against whether selling Sturridge for £45 million would be good or bad for LFC.