wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
Lol new maxKuna tetesi kuwa Man City ( Pep Guardiola) anamtaka coutinho kama replacement of aging David silva hii niliona jana kwenye Liverpool tv wakiwa wanachambua usajili.
Kuna tetesi tume kubaliana na River plate wa kuuziwa striker wao Lucas Alario kwa pound 8m (new Max Rodriguez???) ila dogo yupo vizuri japo at age of 24 hajawahi kuitwa Argentina's national team