Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

list ya average players wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ya Coutinho pale LFC ni kubwa sana.
 
Next LFC fixtures
-Spurs (H)
-Stoke (H)
-Bournemouth (A)

Expect us to win against Spurs, draw against Stoke and LOSE against Bournemouth....#typicalLFC
 
Klopp hates Benteke, and its reasonable, but hakukuwa na haja ya kuareact namna ile mbele ya jamaa, Flanagan na Skrtel were to blame for today's defeat, Not benteke..hakukuwa na haja ya kumfanya benteke kuwa scapegoat..
 
Daaaa!Kakera sana leo huyu mtu!Vipi Lovren aliumia?Lovren kaitwa team ya Taifa kwa week hii?
Nadhani atakuwa kaumia tena AU labda ilikuwa ni precaution ya Redcard, but nahisi itakuwa ni injury, tusubirie official reports...ila kama itakuwa ni injury, then april 7 na game dhidi ya spurs itakuwa ni balaa..

Yeah, nahisi kaitwa tena safari hii, manake alikuwa kapigwa chini kwenye kikosi cha croatia..atakuwa amerudishwa sahiv.
 
Bensmith, saying we want Gotze and Zielinski...lol, old tricks za club bado zinaendelea, leaking good news baada ya shit perfomances kuwacheer up fans..
 
Nadhani atakuwa kaumia tena AU labda ilikuwa ni precaution ya Redcard, but nahisi itakuwa ni injury, tusubirie official reports...ila kama itakuwa ni injury, then april 7 na game dhidi ya spurs itakuwa ni balaa..

Yeah, nahisi kaitwa tena safari, manake alikuwa kapigwa chini kwenye kikosi cha croatia..atakuwa amerudishwa sahiv.
Mechi ya jana ilikuwa inatupeleka CL easily kabisa
 
and SundayTimes are saying Klopp is ready to offload Henderson....Spurs are interested.
 
Ben smith anasema Benteke atawekwa sokoni summer hii..

Juventus and Westham are interested..
 
Mechi ya jana ilikuwa inatupeleka CL easily kabisa
Klopp anatakiwa adeal zaidi na Europa league kwa sasa..

kwenye EPL anahitaji 1-2 transfer windows and pre-seasons ili kuishape team upya kabisa...kwa sasa msimu wetu ushaisha kwenye EPL..
 
Soka gani una analyze hivyo?Leo Barca ka draw na Villarel ina maana hawaendi popote CL?
Villarreal ni timu ngumu sana chief, sio la liga tu hadi Europa sijashangaa kudroo na barca, tatzo lenu looserfool ni kwamba hamna consistency, leo mtakua vizuri mtawasifia sana wachezaji, game ijayo mtaharibu mtarudi kusema klopp anahitaji wachezaji wake.
 
Bensmith, saying we want Gotze and Zielinski...lol, old tricks za club bado zinaendelea, leaking good news baada ya shit perfomances kuwacheer up fans..
Hii iko since wiki iliyopita that's why zikaibuka tetesi kuwa klopp will sell out hendo ili pia kupata hela za kuongezea hapo na imeonekana kweli itakua hivyo baada ya jana hendo kupigwa bench
 
Captain Hendo kamkosea nn Klopp?Kuna anaye elewa kwa nn?
Henderson anatakiwa kuondoka LFC, hana standard za kuvaa jezi ya LFC..

Klopp anataka kusuka kikosi chake upya, so sidhani kama deadwoods zitaendelea kuwepo msimu ujao
 
Henderson anatakiwa kuondoka LFC, hana standard za kuvaa jezi ya LFC..

Klopp anataka kusuka kikosi chake upya, so sidhani kama deadwoods zitaendelea kuwepo msimu ujao
Leo hii mnataka captain wenu aondoke tena vibaya hivyo.

Hata Sir Alex alimponda huyu. Mchezaji hata kudribo mpira hajui. Captain Henderson
 
Leo hii mnataka captain wenu aondoke tena vibaya hivyo.

Hata Sir Alex alimponda huyu. Mchezaji hata kudribo mpira hajui. Captain Henderson
SAF aliongea ukweli na mashabiki wa Liverpool wakamtukana kwa ile statement now wanakubali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom