Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Nakumbuka sana. Wakasema kuwa SAF ana wivu kisa amemkosa. Leo wanaanza kumkataa captain waoSAF aliongea ukweli na mashabiki wa Liverpool wakamtukana kwa ile statement now wanakubali
Nakumbuka sana. Wakasema kuwa SAF ana wivu kisa amemkosa. Leo wanaanza kumkataa captain waoSAF aliongea ukweli na mashabiki wa Liverpool wakamtukana kwa ile statement now wanakubali
He is Good,but not in Klopp philosophy,...!!!Nakumbuka sana. Wakasema kuwa SAF ana wivu kisa amemkosa. Leo wanaanza kumkataa captain wao
Wacha matuc eti hata kudribo hajui,...SAF alimponda ukimbiaji wake akasema atakua na injury prone,...!!!Leo hii mnataka captain wenu aondoke tena vibaya hivyo.
Hata Sir Alex alimponda huyu. Mchezaji hata kudribo mpira hajui. Captain Henderson
Hebu nitajie hata wachezaji watatu wanaofit philosophy ya Klopp.He is Good,but not in Klopp philosophy,...!!!
Hebu nitajie hata wachezaji watatu wanaofit philosophy ya Klopp.
Selfish Sturridge anatakiwa awepo kwenye listBogdan
Skrtel
caulker
ilori
Henderson
Milner
Lucas
Benteke
Lallana
Enrique
Teixeira
Sinclair
Wanatakiwa waondoke summer hii, either kwa mkopo au kuuzwa moja kwa moja.
Mignolet ns skritel watoe....muweke can na flannoMignolet, Skirtel, Firminho na Coutinho
Lucas,Firmino,Lovren under Rodgers walionekana ni TOM & JERRY but now...Go and searchHebu nitajie hata wachezaji watatu wanaofit philosophy ya Klopp.
Waende tu hasa hendo.....maskini benteke yamemkuta ya torres kuhamia chelsea.....Henderson, Benteke, Skirtel, wote wanaondoka summer.
Mkuu kwani we humuoni alivyo kilaza? Yani sijui aina gani ya mchezaji yule yupo slow, pasi zenyewe hazina macho yani akipata mpira ye kazi kuwapasia walio karibu yake tu pale no vision at all....btw yule alikua anabebwa na BR kwa kuwa ni muingereza na sio kwamba ana uwezo.....huwezi kumpa ucaptain hendo ukamuacha mtu kama skritel kwa kipindi kile.....na ukitaka kujua BR ana uingereza angalia timu yake alivyosajili waingereza.....na alivyofika milner tu akampa u-assistant capt mtu katoka from nowhere nakupewa hadhi ya juu kiasi kile na kuwaacha wakongwe wa timu.......Captain Hendo kamkosea nn Klopp?Kuna anaye elewa kwa nn?
Huyo Skirtel wengine wanamkataa humuMignolet, Skirtel, Firminho na Coutinho
Th Name nakubali kuwa Henderson katusaidia sana for past 2 seasons, alikuwa katika ubora (Wake)..but ni mchezaji wa kawaida sana, na hii injury aliyonayo ndo inamfanye acheze kwa kiwango cha chini sana, amekuwa ni weak link kwenye kiungo chetu, hawez kudictate pace, kuanzisha attacks, kutackle, kukimbia na mpira, kuhold mpira etc kikubwa anachokifanya ni kupiga back and sideways passes ambazo zinaharibu movements za team.Leo hii mnataka captain wenu aondoke tena vibaya hivyo.
Hata Sir Alex alimponda huyu. Mchezaji hata kudribo mpira hajui. Captain Henderson
Nimekuelewa sana MosDef timu bila viungo wazuri ni tatizo kubwa maana wapo ndo wanaunganisha timu mzima. Ila Henderson mpe japo hata msimu unaokuja basi.Th Name nakubali kuwa Henderson katusaidia sana for past 2 seasons, alikuwa katika ubora (Wake)..but ni mchezaji wa kawaida sana, na hii injury aliyonayo ndo inamfanye acheze kwa kiwango cha chini sana, amekuwa ni weak link kwenye kiungo chetu, hawez kudictate pace, kuanzisha attacks, kutackle, kukimbia na mpira, kuhold mpira etc kikubwa anachokifanya ni kupiga back and sideways passes ambazo zinaharibu movements za team.
ukiangalia MF's za Klopp tangu yupo Mainz na Dortmund utagundua kuwa Henderson hafai kuwa starter, mara ya kwanza nilikuwa nafikiri kuwa gegeANDpressing ingemfaa Hendo kutokana na kazi yake off the ball, but imekuwa ndivyo sivyo..tunahitaji viungo wapya na wazuri ili tuweze kucompete..
LFC, utd, Arsenal, Man city, Chelsea zote zinalegalega kwasababu ya ubovu wa midfield, Midfield ikiwa mbovu lazima team ipotee, Leicester wapo pale juu siyo kwasababu ya Vardy/Mahrez ni kwasababu ya kazi inayofanywa na Kante/Drinkwater ambao wanafanya kazi ya kudefend kwa kina Huth na Morgan iwe nyepesi, sasa sisi tukiendelea kumlea Henderson hatutafika popote..
kwa pale LFC wachezaji watatu ambao wanafit philosophy ya Klopp haswa bila upendeleo ni Emre Can, Firmino na OrigiHebu nitajie hata wachezaji watatu wanaofit philosophy ya Klopp.
Nah, i wont sell sturridge Aisee, kwenye ulimwengu wa soccer la sasa ni adimu sana kupata ST wazuri..Selfish Sturridge anatakiwa awepo kwenye list
Henderson kama anabaki LFC, abaki kama Squad player na siyo starter, hafai kuwa starter kwa sasa au msimu ujao..Nimekuelewa sana MosDef timu bila viungo wazuri ni tatizo kubwa maana wapo ndo wanaunganisha timu mzima. Ila Henderson mpe japo hata msimu unaokuja basi.
Je nani atachukua nafasi?
Wallah ukimaliza juu yetu najipiga ban mwaka mzima
Bora wafanye hivyo. Kila LA kheri katika shughuli yakuwatafuta hao viungo mnaowataka ili timu yenu iwe nzuri.Henderson kama anabaki LFC, abaki kama Squad player na siyo starter, hafai kuwa starter kwa sasa au msimu ujao..
Klopp analijua hilo ndo maana tumekuwa linked na viungo wengi sana Recently, but kuna dogo nahis tunakaribia kumsign Piotr Zielinski, ni creative/b2b/ball playing mid ambae anafit zaidi katika aina ya mpira wa Klopp, Emre Can wakati yupo Germany alikuwa ni B2B mid, but alivyokuja England BR akawa anampanga kama LCB, lakin klopp alivyokuja akawa anampanga kama B2B lakin akaonekana kupwaya sana kama unakumbuka, Klopp akambadilishia role, Sahiv Emre Can anacheza kama DLP, sasa anahitaji partner aina ya Zielinski/Gundogan kutengeneza kiungo imara..