mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
Umeona lile goli la kwanza la saints Sakho alifanya kucover nafasi ya skrtel ili kuokoa jahazi ila wapiNdio manaana yake hatulii Na yeye ndio hajui kusimama line back 4 akichemsha anasababisha wote nyuma wapate tabu, kaniuzi ILA Klopp naye Leo kachemsha upangaji na usimamizi WA timu. Bora Ligi iishe Tu! Skertel kazi kukimbia Na kuvuta mashati Na ndio anasababisha mpaka Sakho anakuwa mbovu wakali game ngapi alitulia.