AND YOU ARE THINKING ABOUTLiverpoolfc your my team but you have a fever of cosistency,...You play well with big teams only,what are you playing against Southampton 0-2 to 3-2....
I blame Klopp today for his poor substitution,... why he enters Skrtel with no reason,... where is milner why he doesn't start Henderson....
oooohh My liverpool you have a fever of cosistency...
Skrtel your two (three include missed penalt) mistake cost us three silly points...
all players why do not you fight hardly for every games like you always do for big matches...
oooohhh my Liverpool you have a consistency of fever...
ooohhh My Liverpool
ndiooo x-tics ya kila shabiki mkuu not only kopitiesHahahaaaaaa chifu utawaweza hawa watu?
ndio ndio Mkuu,Ndio nikasema Big games,hua tuna fanya vyemaaa...AND YOU ARE THINKING ABOUT
SMASHING DORTMUND
ndio ndio Mkuu,Ndio nikasema Big games,hua tuna fanya vyemaaa...
Mkuu ifike mahala uwe unashinda kwenu tuAcha hizo. Naona beki yenu imerudi
Wallah ukimaliza juu yetu najipiga ban mwaka mzimaNilishasema namaliza juu ya Mitetea .............. viporo vyote ulivyonavyo vimeshachacha. unapgwa na Lukaku unapgwa na Costa.
Ed n Edd nEddy
Kuna wenzako waliahidi ban last season wakakimbiaWallah ukimaliza juu yetu najipiga ban mwaka mzima
Wewe mbona huwa unashinda sana kwetu hahahahahaMkuu ifike mahala uwe unashinda kwenu tu
Hahaaaa mark the post mkuuKuna wenzako waliahidi ban last season wakakimbia
Kwenu kuna Tv mkuuWewe mbona huwa unashinda sana kwetu hahahahaha
Huku flat screen ndo maana Leo nimeshinda hukuKwenu kuna Tv mkuu
Sturridge anacheza kwa tahadhari kubwa ya kuumia,ila sub iliyotugharimu ni ya Skrtel...mkuu hii game ilikua yetu , sub ya benteke ndio iligharimu
Hizo ahadi tutamaliza juu yako nipigwe ban/ntatembea uchi hazijawahi kuwa ukweli hapa JF baadae watu hubadilisha maneno na wengine kujificha uvunguniHahaaaa mark the post mkuu
Soka gani una analyze hivyo?Leo Barca ka draw na Villarel ina maana hawaendi popote CL?AND YOU ARE THINKING ABOUT
SMASHING DORTMUND
huyo jamaa, kwa wachezaji wote waliopo pale utd akaamua kutumia jina la mchezaji kama herrera, so inaonesha alivyokuwa na upeo mdogo wa kupembua mambo.Soka gani una analyze hivyo?Leo Barca ka draw na Villarel ina maana hawaendi popote CL?
skrtel analipwa 90k+ per week man..Skrtel mkataba wake ni pay as you play!Liverpool wakatize mkataba huo aondoke tu bure