Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Inategemeana na unavyoelewa kuturn up...sasa kama unaona kupiga chenga twawala ni kuturn up, basi sawa. Ila kama alivyo Nemo, Coutinho is usually missing in big games. Otherwise, prove me wrong with stats.
msimu huu cou kapotea kwenye game ipi kubwa?? Arsenal away?, spurs away?, Man city home and away? europa league games za utd home and away? chelsea away?..katika hizo games nilizokujia zote Cou ali-turn up..either kwa kufunga, kuassist, kumotvate game, kutengeneza nafasi, kuhold mipira, kutrack back, kuretain possession etc..na pia sidhani kama kazi ya AM ni kuassist na kufunga tu..
 
i'd take Martial na De Gea tu kwenye team ya Manure utd..the rest are shit
 
Msimu huu- 2015-16
-Coutinho:
Turned up against Arsenal (A)
Turned up against Chelsea (A)
Turned up against City (A)
Turned up against City (Wembley)
Turned up against Manure (EL-home and away)

-msimu huu hajacheza games zote za league dhidi ya united (home and away), hakucheza pia game ya nyumbani dhidi ya Arsenal, hakucheza pia game ya nyumbani dhidi ya City..

-Game kubwa ambayo Coutinho alifail kuturn-up msimu huu ni dhidi ya Everton (A)..
 
Flanno captain the team today

95e0879dc2c21e4d35782d692c1de425.jpg
 
Klopp:Anyone who isnt fully commited to Liverpool FC can leave this summer!

100% I agree!Na hii imfikie DS siku hizi nyoro nyoro sana wala hajitumi na akitolewa ana nuna!
Kwa taarifa kubwa inayosambaa leo ni kuwa Henderson ndiyo atakua wa kwanza kuondoka summer
 
Skertel karudi Na upuuzi wake dah Wanyama Na Mane bora wangeumwa Tu agh yaleyale msaidizi WA Klopp anahasira.
 
Liverpoolfc your my team but you have a fever of cosistency,...You play well with big teams only,what are you playing against Southampton 0-2 to 3-2....

I blame Klopp today for his poor substitution,... why he enters Skrtel with no reason,... where is milner why he doesn't start Henderson....

oooohh My liverpool you have a fever of cosistency...

Skrtel your two (three include missed penalt) mistake cost us three silly points...
all players why do not you fight hardly for every games like you always do for big matches...

oooohhh my Liverpool you have a consistency of fever...

ooohhh My Liverpool
 
Skertel karudi Na upuuzi wake dah Wanyama Na Mane bora wangeumwa Tu agh yaleyale msaidizi WA Klopp anahasira.
Leo ndo imejulikana shida kwenye backline yetu siyo Lovren wala Sakho ni skrtel. Leo kaingia tu na kutoa penati all 3 goals he was at fault.

I hope next mechi atakuwa kwenye bench tu haiwezikani uingie wewe tu 45 minutes tunapigwa 3
 
Ndio manaana yake hatulii Na yeye ndio hajui kusimama line back 4 akichemsha anasababisha wote nyuma wapate tabu, kaniuzi ILA Klopp naye Leo kachemsha upangaji na usimamizi WA timu. Bora Ligi iishe Tu! Skertel kazi kukimbia Na kuvuta mashati Na ndio anasababisha mpaka Sakho anakuwa mbovu wakali game ngapi alitulia.
 
Leo ndo imejulikana shida kwenye backline yetu siyo Lovren wala Sakho ni skrtel. Leo kaingia tu na kutoa penati all 3 goals he was at fault.

I hope next mechi atakuwa kwenye bench tu haiwezikani uingie wewe tu 45 minutes tunapigwa 3
Indeed,..boss kumekua na cleen sheet kama tatu nne kwa partner ya Sacko na Lovren,..Tangu Skrtel aumie...ila leo kurudi tyuu nuksi...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom