Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huwezi funga goli la namna ile.... tena uifunge timu yenye jina la mashetani afu mbingu ikae kimya.

Malaika hawawapendi mashetani.

Long Live Cou10. Kila la kheri utakapokutana na Borussia. Kick their ass!!!!
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH
 
Wale Dortmund tunawatoa, wale usiwe na wasiwasi legend Asprin
Niko kwenye maombi... Tukiwatoa hawa wabaguzi kutakuwa na uwezekano wa kuichukua hii ndoo.

Naiona LFC ya enzi zile inarudi kwa kasi. Mungu ameamua kuifufua timu yake. Watu wengi hawajui Mungu ni shabiki wa Liverpool. Yeye ndo alituambia YNWA!!

Long live Klopp, RIP BR!
 
kitu ambacho nakipenda kwa coutinho ni kuwa he turns up kwenye big games..
Ha ha ha! Lile si lilikuwa goli lake la kwanza kwa Liserfools katika Europa league?!? Ama unaongelea big games zipi? Katika EPL unaifahamu kweli rekodi yake ya magoli na assists dhidi ya top 6 clubs??! How many goals and assists he has in big games?!?
 
f7e9a26d007d133f8231421451b843a5.jpg
 
Hakuna wa kumfananisha na SAF braza...labda kama unataka kufosi kingi.
Klopp hawezi fikia kwa SAF lkn kwa current EPL managers ni yy mwenye potential ya kufikia alicho fanya babu!

Your Manager is a trash,ana mbinu za kizamani sana
 
Klopp hawezi fikia kwa SAF lkn kwa current EPL managers ni yy mwenye potential ya kufikia alicho fanya babu!

Your Manager is a trash,ana mbinu za kizamani sana
Punguza unazi braza. Kwa kipi alichokifanya Klapp hadi sasa kwenye EPL? Kwanini usiseme Ranieri ambaye ameitoa timu kutoka kwenye nafasi ya mwisho hadi kuwania ubingwa? Ama yule dogo wa Spurs ambaye ameifanya Spurs kuwa title contender? Hadi sasa Klapp hasn't done anything special to even be compared with SAF's shadow!
Yes, LvG siyo kocha mzuri but, he is above Klapp on the EPL table...so statistically he is better than Klapp, until otherwise...
 
Klopp ana miezi 4 EPL na aliichukua Liverpool ikiwa ya 14 na haikiwahi cheza fainali yyt kwa 4 yrs!

Man U vs Liverpool statistically are tied up ktk msimamo wa Ligi na kikubwa zaidi unaona kila siku Liverpool ina improve

Hamna kama SAF ktk soka la dunia hii lkn Klopp is there to challenge him!Klopp umpe teams kama anazopewa Pep utaichukia soka la dunia hii maana atashinda kila kikombe
 
Hamna kama SAF ktk soka la dunia hii lkn Klopp is there to challenge him!Klopp umpe teams kama anazopewa Pep utaichukia soka la dunia hii maana atashinda kila kikombe
Huyu huyu Klapp aliyekuwa karibu kuishusha daraja BvB?!? Ama mwingine?
 
Huyu huyu Klapp aliyekuwa karibu kuishusha daraja BvB?!? Ama mwingine?
Unaongea bila stats wala fact na nimesikitika sana!Team ambayo alitaka kuishusha daraja ikawaje akaipa nafasi ya kucheza Europa?

Walikuwa wa ngapi anaondoka pale na kwa nn sasa wapo robo fainali ya Europa kama walitaka kushuka daraja?

Go get fact then come back here!!
 
Unaongea bila stats wala fact na nimesikitika sana!Team ambayo alitaka kuishusha daraja ikawaje akaipa nafasi ya kucheza Europa?!!
Ha ha ha! At one point of the season, was it after 14 or 15 games, BvB ilikuwa nafasi chache kutoa mkiani! It was a relegation battle at that time.
 
Ha ha ha! At one point of the season, was it after 14 or 15 games, BvB ilikuwa nafasi chache kutoa mkiani! It was a relegation battle at that time.
Ni kweli,hadi round ya kwanza inaisha alikuwa ktk relagation battle lkn aliporudi alishinda games nyingi hadi akapata Europa spot!

Hata SAF alitaka yy ndiyo awe mrithi wake Man U,na angekuja pale kwa team aliyo iacha Babu sasa mngekuwa mabingwa
 
Ha ha ha! Lile si lilikuwa goli lake la kwanza kwa Liserfools katika Europa league?!? Ama unaongelea big games zipi? Katika EPL unaifahamu kweli rekodi yake ya magoli na assists dhidi ya top 6 clubs??! How many goals and assists he has in big games?!?
lol, kwa hyo kuturn up kwenye big games ni lazma ufunge na kutoa assists??
 
lol, kwa hyo kuturn up kwenye big games ni lazma ufunge na kutoa assists??
Inategemeana na unavyoelewa kuturn up...sasa kama unaona kupiga chenga twawala ni kuturn up, basi sawa. Ila kama alivyo Nemo, Coutinho is usually missing in big games. Otherwise, prove me wrong with stats.
 
Mwaka ule tulikuwa wa pili game muhimu na Man City akatufungia bao muhimu sana la ushindi!
 
Mwaka ule tulikuwa wa pili game muhimu na Man City akatufungia bao muhimu sana la ushindi!
Katika ule msimu kwenye big games ambapo suarez alikuwa man marked coutinho alikuwa anaibeba timu, Nzi kaangalie games za Arsenal 5 kwa 1 goals za liverpool na assist atoa nani usisahau Everton, Man utd pale OT mpaka mkafukuza Moyes, Spurs na Chelsea
Mwaka ule tulikuwa wa pili game muhimu na Man City akatufungia bao muhimu sana la ushindi!
Katika ule msimu kwenye big games ambapo suarez alikuwa man marked coutinho alikuwa anaibeba timu, Nzi kaangalie games za Arsenal 5 kwa 1 goals za liverpool na assist atoa nani usisahau Everton, Man utd pale OT mpaka mkafukuza Moyes,
 
Klopp:Anyone who isnt fully commited to Liverpool FC can leave this summer!

100% I agree!Na hii imfikie DS siku hizi nyoro nyoro sana wala hajitumi na akitolewa ana nuna!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom