Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

UEFA chargig LFC kwa fujo za juzi OT, but walikuwa kimya kwa zile chants za Manure's away fans pale Anfield..
 
Hakuna game dhidi ya LFC na Utd ambayo huisha bila fujo pale England, but FA huwa wanazifunika, so kama UEFA wameguswa sana na fujo za juzi, walitakiwa wafanye fair, Anfield kulikuwa na chants za ajabu kutoka kwa manure fans ambazo hazivumiliki, but kwa juzi ndo wanafajifanya kuchukua action..
 
FA wenyewe wanaweka mapema sana mechi kati ya liverpool na man utd hazichezi usiku
 
, Anfield kulikuwa na chants za ajabu kutoka kwa manure fans ambazo hazivumiliki, but kwa juzi ndo wanafajifanya kuchukua action..
Unalalamika? Kateni rufaa UEFA....yaani unataka UEFA wachukue hatua dhidi ya chants? Really? Unalinganisha chants (abstract) na fujo (real and physical)????
 
Unalalamika? Kateni rufaa UEFA....yaani unataka UEFA wachukue hatua dhidi ya chants? Really? Unalinganisha chants (abstract) na fujo (real and physical)????
seriously? chants na banners za kumock watu waliofariki bila mapenzi yao?? how can someone mock that Hilsbrough incident?? wale waliokufa wameacha family na watu waliokuwa wanawapenda, unawezaje kumock kitu kama hicho? na kilichopelekea fujo ni kipi? si ni hizohizo chants? kwahyo ni sawa team pinzani kumock lile suala la Munich??

hakuna Actions zozote ambazo zinaweza kuchukuliwa kuhusu chants za Gerrard kuslip coz hazina mashiko, but siyo kwa offensive chants zinazohusiana na hilsbrough au Munich incidents, ni watu wengi wanaomia kupitia hizo chants, chants za ubaguzi wa rangi kwa wachezaji weusi zinatofauti gani na chants za kumock vifo vya innocent people??

unajua kwamba kulikuwa na LFC fans kama 10-12 ambao walianzisha chants za Munich kwenye away end ya OT na ni moja kati ya sababu zilizopelekea fujo na injuries kwa fans?? sasa kwann kwenu nyie Chants za Munich ziwe bitter kwenu na siyo hilsbrough?? chants kama zile hazitakiwi katika soccer, kuna clubs huwa zinapigwa fine na kuadhibiwa kwa chants za ubaguzi wa rangi ambazo hazina utofauti na chants za kumock vifo vya innocent people ambao waliacha watu wanaowapenda hapa duniani..
 
seriously? chants na banners za kumock watu waliofariki bila mapenzi yao?? how can someone mock that Hilsbrough incident?? wale waliokufa wameacha family na watu waliokuwa wanawapenda, unawezaje kumock kitu kama hicho? na kilichopelekea fujo ni kipi? si ni hizohizo chants? kwahyo ni sawa team pinzani kumock lile suala la Munich???

unajua kwamba kulikuwa na LFC fans kama 10-12 ambao walianzisha chants za Munich kwenye away end ya OT na ni moja kati ya sababu zilizopelekea fujo na injuries kwa fans?? sasa kwann kwenu nyie Chants za Munich ziwe bitter kwenu na siyo hilsbrough?? chants kama zile hazitakiwi katika soccer, kuna clubs huwa zinapigwa fine na kuadhibiwa kwa chants za ubaguzi wa rangi ambazo hazina utofauti na chants za kumock vifo vya innocent people ambao waliacha watu wanaowapenda hapa duniani..
Tukiweka emotions sana kwenye mchezo wa ushindani, unaweza changanyikiwa...pamoja na kutokubaliana na chants za namna hiyo, ila they don't really change anything...if Loserfools feel unfairly treated, wakate rufaa...si kuna video records zenye kuonyesha hizo chanting?
 
Soccer lipo kwaajili ya kufurahisha watu na kuwaweka watu pamoja, chants kama hizi hazihitaji, haipendezi kuumiza hisia za watu ambao wanahusika kwa namna moja ama nyingine na zile incidents..

lol, tushazoea kuwa unfairly treated na FA pamoja na UEFA, so haina haja ya Rufaa..

Markovic got 4 match-ban for this
1458384925220.jpg

But, Fellain somehow managed kupata free-pass for this
1458385073481.jpg
 
Attachments

  • 1458384746289.jpg
    1458384746289.jpg
    22.7 KB · Views: 26
  • 1458384814690.jpg
    1458384814690.jpg
    22.7 KB · Views: 21
Lile goal alilifunga Coutinho, angefunga Messi, tungesikia maneno kibao...and some utd fans compared Coutinho with Herrera
 
kitu ambacho nakipenda kwa coutinho ni kuwa he turns up kwenye big games..
 
Club yetu bhana, eti waliattend ile game ya Barca Vs Arsenal kufanya scouting, hahahaha Imagine scouting Barcelona players!!!! mbwembwe zingine bhana..
 
bila mad offer, sidhan kama tutamtoa Ter Stegen Barcelona
 
lmaooo, HE SENT VARELA BACK TO URUGUAY AND DE GEA BACK TO SPAIN

And.....he almost ended carrick's career..
Huwezi funga goli la namna ile.... tena uifunge timu yenye jina la mashetani afu mbingu ikae kimya.

Malaika hawawapendi mashetani.

Long Live Cou10. Kila la kheri utakapokutana na Borussia. Kick their ass!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom