bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,209
- 2,920
Liverpool vs B. Dortmund ikitokea hii ni hatari
Taarifa za chinichini nilizopewa ni kuwa KLOP atapangwa na timu yake ya zamani SUBIR MUONE
Pale hakuna nani anapangwa na nani, ni mwendo wa kuokota vikaratasi. Ni some sort of bahati nasibu.
Nilikuwa pembeni nafatilia maongezi yenu. Ndo hivyo