Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

What are you smoking chief? Relatively smaller teams? For the record Leicester are at the top of BPL, 16 points ahead of Loserfools. How do you call such a team smaller? Oh! Nimesahau kuwa nyiye ni wazee wa Makumbusho
Hahahaha, ukishinda ndiyo huwa unapita huku...hahahahah

Nakubaliana na wewe kuhusu Leicester. Ambaye anafikiria kuwa Leicester ni team ya kawaida ni wa kumshangaa kidogo...but we've a shit shit shit team.
 
watu wanafikiria kuwa Klopp ni Mungu, kwamba angaibadilisha LFC kwa muda mfupi.

Tuna team ya kawaida sana, huo ndio ukweli.
 
Sidhani kama tutasajili tena, maana teixeira hatutaweza kumpata tena dirisha hili

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • 1454471341277.jpg
    1454471341277.jpg
    20.9 KB · Views: 25
watu wanafikiria kuwa Klopp ni Mungu, kwamba angaibadilisha LFC kwa muda mfupi.

Tuna team ya kawaida sana, huo ndio ukweli.
Klopp anashindwa kutengeneza defence mtafungwa sana, BR alikuwa kimeo with the same players lakini defence ilikuwa nafuu
 
Jamani nimekuja kuhani msiba hapa kwa jirani,mbona wenyeji siwaoni?R.I.P marehemu Liverpool.
 
My friend Ed n Edd nEddy imekuaje tena mbona hamjafanya kama siku ile na Norwich city? Ukimuona Pazi mwambie vardy ni hatari sana.
Hapa tukaze europa tu Pia Tutafute na huku epl point 8 hizo tusije tukashuka daraja Kisha baada ya hapo macho yetu yawe ktk Cups calling
 
lfc hii timu haichezi mpira...inacheza mchezo unaofanana na mpira tu..
Leicester inaonekana imara mara 2 zaidi ya LFC wapo well organised lfc huoni kufanya lolote uwanjani....duuuhhh..hatari lakini salama
1454474036110.jpg
 
hii inayo cheza lfc ndio gengenpressing?

Madudu ya br yameshindwa kuchez klopp football
 
Hapa tukaze europa tu Pia Tutafute na huku epl point 8 hizo tusije tukashuka daraja Kisha baada ya hapo macho yetu yawe ktk Cups calling
Ngoja tuone maana hii ligi bhana ni hatari
 
Average goalkeeper. No good centre backs. A left back who has no brain. Midfielders who don't score and no fit strikers. We are Liverpool.
 
Hahahaha, ukishinda ndiyo huwa unapita huku...hahahahah

Nakubaliana na wewe kuhusu Leicester. Ambaye anafikiria kuwa Leicester ni team ya kawaida ni wa kumshangaa kidogo...but we've a shit shit shit team.
We beat this so called "top team" only a month ago, yet we got turned over like kids last night. Moreover, we beat Man City & Chelsea at their own backyards!!

We have shit players, granted, but why the coach cant set the team up the same way as he did last time?? The team's inconsistency is not about players - it's about an inconsistent team structure - which is all down to the freaking coach!

There was no flexibility in our game plan last nite. Predictable penetration through the middle was all what was on offer. You expect the approach to change when Benteke is thrown into fray but what do you see? The same old useless passing through a packed midstream plus zile flicks za kishamba za Lalana!

No, absolutely not acceptable from my point of view - Klopp can't run away from the shambolic performance of last night and he knows it. He can't continue hiding behind the "shit players" bandwagon. He must continue setting the team up in a similar way to what he did when we beat Leicester, ManC, Chelsea, etc.

I can see that for some Kopites, Klopp appears as untouchable as how a section of Tanzanians feel Magufuli is!
 
Ulikokughu Nkamu gwangu Malafyale? Pole sana nkamu.....


My dears Ed n Edd nEddy, mak89 , Pazi , wembeee na #LFCfans poleni sana, ndo soka Hilo.
Wale watoto walituchapa makofi ya uso bila hata aibu. Kuna wakati nadhani Chelsea anaweza akatupita kwenye msimamo wa ligi mwisho wa msimu

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom