Overall tumecheza vyema sana!Caulker anunuliwe moja kwa moja haraka sababu ana uwezo sana
Second half at least...caulker amecheza vizuri this game for sure if akiendelea this way mpaka end of the season al agree anunuliwe
Overall tumecheza vyema sana!Caulker anunuliwe moja kwa moja haraka sababu ana uwezo sana
Bora ameiogopa mapema akifanya vizuri ataivaa tu "legendary, famous jersey no 8"Marko Grujic says he doesn't want the No. 8 shirt when he joins Liverpool.
Mwache aondoke halafu baada ya msimu mmoja akina Ayre wakamnunue kwa 20m. Si unakumbuka ya Ince?Joao Carlos Teixeira has hinted that if he isn't given game time this season, he will leave Liverpool in the summer.
Stewart angekua 18 ivi ningekua nina hope nae kama atakuja first team Ila he is 22 na amekua kiraka hata reserve team..fullback hadi centerback na game chache kama midfielder kwa umri wa miaka 22 anatakiwa awe amefika level flan ambayo naoana bado mbal kufika...japo kuna ambao wanachelewa kudevelope but ni wachache mnovijana jana walicheza vizuri sana texeira....blanaggan.....smith na sterwart naye ingawa lovren alimsaidia sana ubavu wa kushoto...ila amejitahidi sana.
nadhan mwisho wa msimu Teixeira anaondoka kwetu yes his chances ni ndogo mno cz tuna watu wengi wa muundo wake pale kwetu pia alivunjika mguu na aliumia mgongo alispend kama miaka miwil nje hiyo imemchelewesha sana..Joao Carlos Teixeira has hinted that if he isn't given game time this season, he will leave Liverpool in the summer.
nadhan nafasi ya kubaki ni ndogo sanaMech yake ya kwanza dakika ya 16 tu toka aingie from sub akafunga...vs stoke City good moment5 years ago he joined LFC
![]()

Kuna Ings piaOrigi angekua anafunga goals plus uchezaj wake angekua top class player pia...I rate him too but bado sio goal scorer atadevelope vizur under klopp...
Naona klopp atataka goalscoring midfielders.na firmino anaez kua focal point of his attack...akirud origi our attack itakua na shape.
Ings mzur sana but sio kama main striker tuna options nzur sana ings origiKuna Ings pia
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app

Sidhani kama tutasajili tena, maana teixeira hatutaweza kumpata tena dirisha hili"JUST WAIT IN NEXT 48 HOURS TO KNOW LIVERPOOL ACTIVITY IN THIS JANUARY TRANSFER WINDOW"![]()
![]()
maneno ya klopp baada ya gemu ya jana. Sijui kunanini hapo tusubili
Hii deal lishakufa mda mrefu pia tusijipe moyo moyo kwa maneno ya klopp tukaja kupata pressure bure .tuichukulie kama imekufa..na ikitokea iwe kama bonusSidhani kama tutasajili tena, maana teixeira hatutaweza kumpata tena dirisha hili
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Liverpool faced with fixture pile-up in February Ila kwa ratiba hii madogo tutawaona sanaGame ya jana sijaiona, how did we fare? Kwa kupata draw mbona runaongeza mechi nyingi tena ndani ya muda mfupi na hapo tuna europa league inakuja mwezi February
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app