We beat this so called "top team" only a month ago, yet we got turned over like kids last night. Moreover, we beat Man City & Chelsea at their own backyards!!
We have shit players, granted, but why the coach cant set the team up the same way as he did last time?? The team's inconsistency is not about players - it's about an inconsistent team structure - which is all down to the freaking coach!
There was no flexibility in our game plan last nite. Predictable penetration through the middle was all what was on offer. You expect the approach to change when Benteke is thrown into fray but what do you see? The same old useless passing through a packed midstream plus zile flicks za kishamba za Lalana!
No, absolutely not acceptable from my point of view - Klopp can't run away from the shambolic performance of last night and he knows it. He can't continue hiding behind the "shit players" bandwagon. He must continue setting the team up in a similar way to what he did when we beat Leicester, ManC, Chelsea, etc.
I can see that for some Kopites, Klopp appears as untouchable as how a section of Tanzanians feel Magufuli is!
Lame Argument kwa mara nyingine kutoka kwako, infact ni mpangilio wa biased opinions kuhusu Klopp kutoka kwako tangu Rodgers apigwe chini, and naelewa kuwa wewe ni pro-Rodgers na mpaka sasa naona huamini kuwa Rodgers kapigwa chini na FSG..
You know whats funny?? Kipindi kile Rodgers anawanunua kina Lallana, Allen, Lovren, Lambert, Benteke etc, sikuziona biased opinions zako kuhusu hizi signings, and cha kuchekesha zaidi sijawahi kuziona biased opinions zako kuhusu Rodgers kutumia zaidi ya £300m+ na kaondoka kaiacha team ikiwa haina GK wa maana, CBs wa maana, na zaid ya hapo kaiacha team haina hata DM mmoja wa maana, kila kukicha ulikuwa unawalaumu FSG kuwa team haina Kiungo, fullbacks, wala CBs, wakati hela za kununua wachezaji anapewa Rodgers, last year hela ya Suarez yote kaimalizia kwa kina Lallana, this season hela yote ya Sterling kaimalizia kwa Benteke, na kumlipa Milner 150k per week, and sikuona ukimponda Rodgers kwa ubovu wa hizo signings, zaidi ya kuwalaumu FSG tu..
Sahiv unamlaumu Klopp, kwa upuuzi alioufanya Rodgers?? hao wachezaji ambao Rodgers kawasign yeye wenyewe walimwangusha, itakuwa kwa klopp? manager gani duniani atafanikiwa na kikosi ambacho kina Migs, Bogdan, skrtel, Milner, Allen, Lucas, Henderson, Lovren, Ibe, Lallana??, And on top of all hawa wote ni starters kwenye team, kuna mchezaji gani hapo anaanza kwenye Top 6 ya EPL sahiv? au niambie mchezaji gani hapo anaanza hata Everton?? utamlaumu Klopp kwa hilo??? Ranieri kaichukua Leicester akawasajili kina Mahrez, Cante, Drinkingwater, Abby etc..na hao ndo wanamsaidia sahiv tena saaana, Klopp kamsajili nani?? Huyo Ranier angebaki tu na kina Ulloa, King, Cambiaso etc angefika wapi??
Rodgers alikuwa na msimu mmoja tu mzuri katika tenure yake yote, na katika huo msimu hatukubeba kikombe chochote wala kuingia fainali yeyote, matter of fact, chini ya Rodgers hatujawahi kuingia fainali kwenye kombe lolote lile, lakin kipind hicho chote umekuwa ukim-back..Klopp yupo LFC kwa miezi miNNE tu, and you're calling for his head, and unajiita Shabiki wa LFC!!!??
Calderon (spelling), Rais wa Zaman wa Madrid, Juzi alikuwa quoted akisema Madrid walimtaka Klopp kwanza kabla ya Benitez, but Klopp akagoma kwenda Madrid, Kaamua kuja kuja kufundisha kina Lallana, na isitoshe angeweza kuisubiria kazi ya Bayern, but NO, kaja LFC, unadhani alikuwa hajui Task iliyokuwepo mbele yake?? Top manager yupi anataka kuharibu CV yake? Carlo kakubali kwenda Bayern, coz kuna wachezaji wazuri, asingeweza kukubali kuja kufundisha kina Lallana, but Klopp kakubali, Buvac mwenyewe anasema Kikosi walichokikuta wakat wanaanza kuifundisha Dortmund, kilikuwa ni kibovu zaid ya hiki cha LFC, kwa mantiki hiyo WANAJUA kwamba wachezaji waliopo ni wabovu, ndo maana tunaexpect Massive ClearOut this summer..
Na kuna vitu LFC fans hatutaki kukubali, LFC ni BIG club, but siyo TOP CLUB kwenye EPL kwa sasa, Leicester are Miles Better than us, Wako kwenye Top form, wamepoteza game 2 tu this season, Kuwafunga City and Chelsea haijustfy ubora au ubovu wa team, Manager anaweza akawa na ideas nzuri but uwezo wa players ukamuangusha, unataka Klopp aimplement Ideas zake, idea zipi?/wakat zote zinagoma kwasababu ya ubutu wa wachezaji, kwanzia kipa mpaka foward, game ya jana utamlaumu Klopp? kwahyo klopp anatakiwa awe anawafundisha kina Lallana jinsi ya kuassist? au kumfundisha a £32m striker jinsi ya kujiposition na kwenda na moves?/striker gan crosses zinapigwa upo nje ya box?? hayo yote afundishwe?? huyo Captain wako mambo yakiwa magumu anajificha uwanjani, mzigo wote unabaki kwa mtoto mdogo Can, kijana wa miaka 22 ndo anakibeba kiungo cha club kama LFC? hayo ni makosa ya Klopp? na ubaya zaid huyo Can anazidi kuchoka kadri siku zinavyokwenda..
Yaani mnataka Klopp, alivyokuja aibadilishe team ndani ya siku 2, ipande mpaka kwenye nafasi ya kwanza? kwa kuwa yeye ni Mungu?? au?? acheni hizo bhana, wakat unatoa biased opinions zako kuhusu Rodgers hakuna mtu aliyekuwa anakuingilia na unaposema Klopp hakoselewi, unazidi kuonyesha chuki zako za wazi kwa Klopp, humu ndani tumemcrtisize Klopp mara ngapi? wakat tumefungwa na Newcastle, Watford etc mbona watu walimcrtisize??? akikosea kupanga team unamponda tu, lakin siku hizi amekuwa anawawekea team lenu hilo hilo mnalolitaka kila siku, manake hata akianzisha youngsters mtaponda vile vile..
Rodgers kaharibu talents za madogo kibao, lakin sijawahi kuona hata siku moja ukimponda humu, zaidi ya kuwalalamikia FSG tu.