Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

you once called for Klopp's head..

ndiyo maana arguments zako zote zinazomuhusu Klopp huwa naziona ni lame tu.
Uliielewa context ya argument yangu au uliichukulia at face value?

Come on....
 
KLOPP NI WORLD CLASS MANAGER, AND WE'RE SO LUCKY TO HAVE HIM.

Asije mtu akakudanganya.
 
Sawa. Lakini....

Lakini mimi sihitaji kuwa spokesperson wa Klopp.

My duty as a LFC supporter is first and foremost to support Klopp lakini also to pressure him perform consistently with what he has got. Otherwise he's likely to have a comfort zone siesta and that will be that. Nina wasiwasi mkubwa sana kwa mwendo huu we may very soon find ourselves plunged into a relegation dogfight kwa kisingizio cha "Klopp needs time". For me....he needs to deliver immediately in order to keep LFC in the premiership next season.

And Klopp is much much bigger than BR - so let's not make direct comparisons here!

It's on record on this forum that I was once a staunch supporter of BR - but I was the first one to fire him!!!

Give credit where it's due and whip ass when due!

That's being rational!!
Tisha toto klopp Akiendelea na milner hendo in midfield next season then mapema tu ntaanza kampen ya klopp out japo niko tz

Pia tambua Epl huwez fany vizur kama huna pacy wide players..pace ndo kila kitu in epl especially when it goes hand to hand with technique.

huwez kua na wingers lallana milner then utegemee team iwe na identity in attack..so now tufunge midomo yetu
 
Subiria jibu la kijinga...
 
Ili klopp afanikiwe lazima afanye maamuzi magumu ya kuwaondoa XI wale waingereza
Kutotegemea waingereza kumefanya chelsea, man city, arsenal kufanikiwa sana
Sisi tunaokomaa na waingereza tunazidi kupiga hatua nyuma
Lallana
Henderson
Ibe wote waanzie benchi
 
Joel Matip asaini mkataba wa awali na Lfc,,,,,

Beki huyo kisiki wa schalke 04 alihusishwa kujiunga na Lfc kwny dirisha dogo la January,,,,,

Lkn team yake iligoma kumuachia na kumshaeishi kuongeza mkataba ambao unaisha Mwishoni mwa msimu huu,,,,

Joel Matip aligoma kusaini mkataba mpya hivyo kupelekea kuondoka bure Mwishoni mwa msimu huu,,,

Kulingana na report kutoka German zinasema Matip amekubaliana na Lfc na kusaini mkataba wa awali mjini Bosman

Corriere dello sport wameripoti Matip amezikataa ofa kutoka club nyingine na kuamua kusaini na Liverpool,,,,,,,

Matip ndo utakuwa usajili wa kwanza wa klop majira ya joto,,,,,

Binafsi naona tumelamba dume kirahisi mno,,,,,

Well done klop
YNWA Matip
 
jamani kimya sana humu....leo caulker,Joao texeira na danny ward wameongezwa kwenye list ya wachezaji watakao shiriki kwenye mashindano ya kombe la europa.texeira amechukua nafasi ya danny ings ambaye yupo majeruhi na ward amechukua nafasi ya bodgan na caulker amechukua nafasi ya gomez ambaye yupo majeruhi mpaka sasa.
 
lol Bogdan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom