SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Aisee. Dah
HUGE game hiyo kesho..ushindi ni lazima
HUGE game hiyo kesho..ushindi ni lazima
Hii ngumu kumeza.
Tuanze kumjadili Klopp. Conclusion yangu ni kuwa kuna very thin line ya kuwatofautisha Klopp na Rodgers.
Kama Suarez asingeondoka na Sturridge kuumia, tungeweza kuchukua EPL na pia kufika mbali sana kwenye UCL kwenye season ya 2014/15. Kilichomfanya Klopp awike B Dortmund ni mchango binafsi wa Lewandoski na Gotze, walipoondoka hawa Klopp na Dortmund yake wakaangukia pua!
Kuna kipindi nilisikia mnasema Lucas ni mzuri kuliko Morgan, bado mna yaamini maneno yenu?
Majogoo yamenyonyolewa mbawa leo.HUGE game hiyo kesho..ushindi ni lazima
klopp out