Watu wana wasiwasi sana na Leicester, but hiyo ni game nyepes sana kwa LFC, coz gegenpressing inahitaj opponents wanaocheza attacking football ili ifanye kazi kwa ufasaha, LFC tunapata tabu tukicheza na teams zinazo park bus na kusubiri counters..ndo maana tunahitaji Winger mmoja mzuri january (Sane, imo)...
i can guarantee you kuwa game ya Leicester tutashinda kirahisi sana.
Mark this post.
Happy birthday my lovely team AC Milan...sisi ni mabingwa wa milele
i'd start Firmino as false #9 , with Cou and Adam behind him, kama siyo hivyo i'd rather give Origi a shout lakin siyo Benteke, game zote alizoanza Benteke rate ya ushindi ni 0.8..