mkuu hapo ni 4-3-3?!LEAKED TEAM ITAKAYOCHEZA DHIDI YA WATFORD JUMAPILI (manake ishakuwa Jumapili hii tayari, saa 6 imepita, lol)
Bogdan, Clyne, Sakho, Skrtel,Moreno, Lucas, Can, Henderson, Lallana, Firmino, Coutinho.
KWA HIYO LINE-UP TUNASHINDA UZUUUURI HII GAME..
lol, Baba ake Grujic alikuwa anataka mwanae aende Vfb au inter Milan, alikuwa anadai kuwa waserbia huwa wanafail LFC, mfano ni Markovic and Jovanovic, hapo kwa Jovanovic nimecheka sana ni mmoja kati ya Wachezaji wabovu kuwahi kuvaa the famous red jersey...
BOGDAN will be STARTING TOMMOROW.
Joel Matip wa Schalke 04, ndo target ya Summer, atakuwa free, Klopp anamtaka, me simkubali huyo jamaa Aisee, kuna CB wazuri zaid ya huyo, and Klopp should be aiming higher ana pulling power kubwa sana..
mkuu hapo ni 4-3-3?!
Unamkumbuka Kuna msim tulimsajil abel xavier hahah toka everton
Sio mbaya uyo matip sabb klopp ashawai chukua average na kugeuza world class acha tumuamini
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!!!!!
wembeee una kumbukumbu Aiseee, hahahahahahahahaha
ILE ILIKUWA BANTER ERA..LFC wamepita wachezaji wabovu jamani, ukianza kuwakumbuka utashindwa hata kuamini.
kygryakos eti huyu nae alipita pale lfc
alikuja kilindi kile tuna struggle na set pieces na wakat huo huo hatufungi magoli mengi kutokana na kona na faulo so kocha akaona ajaribu kamali hyo na wakat sisi tuna huyo ars walikuwa na sendors bas ilikuwa full vituko.ikifika wkend mmoja hasipojifunga bas anatoa assist kwa stricker wa timi pinzani