Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh!!! Poleni sana Rafiki zangu Ed n Edd nEddy sijui leo umejificha wapi? My kaka naona jogoo hili lishakuwa la kizungu mchinjaji hana tabu..... Pazi na mak89 take it easy league ngumu..... wembeee na fredricko khaahahhhhahahahahhah hii ndo gege style, kujeni basi msiwe mnajificha bana!!!!

Nipo mtani...... Asante sana
 
Last edited by a moderator:
WELCOME TO ANFIELD Marco GRUJIC

~~DILI YAKAMILIKA RASMI SASA~~

**Marko GRUJIC akubali Mkataba wa Miaka Mitano**

>>Kufanya vipimo wiki ijayo.

Ian Ayre alilipotiwa kusafiri wiki iliyopita kwenda malizia mazungumzo Na Red Star Brigade ya Serbia,hatimae dili imekamilika Na Dogo Grujic amekubali mkataba wa miaka mitano ss hapo ANFIELD.

Huu ndio unakua usajili wa kwanza KBS wa Meneja huyu wa Kijeruman BOSS Jurgen KLOPP,Grujic atasafiri wiki ijayo kuja malizia vipimo hapo Melwood.

>>haya haya Wadau KLOPP ndio anaianza safari ya kuijenga au kuibadirisha LIVERPOOL.

#nn maoni yako juu ya usajili huu ambao sasa rasmi.
 
Naona kautaratibu ni kale kale buy then spend on loan until next season ngoja niende kumuona YouTube new Gerrard
 
Tisha-TOTO comments zako zimenisikitisha sana.

Am annoyed, and when am annoyed like this I say it as I see it. I want LFC to be successful once more.

Klopp must put his act together, and fast. Like any other Kop, I was expecting a lot better from him - not this shiite.

Anyways, acha ninyamaze sasa. Nitarudi kuanza kuchangia hapa nitakapoona stats (zinazo-matter) za Klopp zitakapokuwa better than BR's.
 
Unawezaje kuongelea kuhusu Klopp kufukuzwa sasa hivi?? na utamfanishaje manager aliyetumia ?300m kwa msimu mitatu aliyokuwepo pale LFC na Manager ambaye ndo kwanza leo kakamilisha signing ya Grujic kwa ?5m tu akiwa na MIEZI MIWILI tu na TEAM?
 
Tupo kwenye transition baada ya BR kutuletea wachezaji wa hovyo hovyo,Klopp will make us better
Kila la heri.
Transition hiyo itachukua miaka mingapi?
Huyo ni bwana shamba au bwana mazo?

Huyo bwana mazao(crops/klopp) anategemea kuvuna mazao yake mwaka gani?
 
Red Star's sporting director Zvezdan Terzic says Marko Grujic will sign with #LFC in three days. Says he'll wear No 8.
Annual salary: ?1.2m

Hii inaonekana klopp anapanga kumtumia dogo first team....milner atafute seatbealt kweny bench
 
Inasemekana buvac ana hasira sana na ndie anaeongea na players wakicheza ovyo....
Jana klopp hakuongea. Buvac aliwamind players na kuwaambia wanatakiwa kufight for their future. ....Dirisha kubwa ni kusafisha makapi yote kabisa
 
Hapa vipi
 
Attachments

  • 1450773956285.jpg
    1450773956285.jpg
    37.3 KB · Views: 97
Red Star's sporting director Zvezdan Terzic says Marko Grujic will sign with #LFC in three days. Says he'll wear No 8.
Annual salary: ?1.2m

Hii inaonekana klopp anapanga kumtumia dogo first team....milner atafute seatbealt kweny bench

Grujic ni defensive mid, so atachukua nafas ya Lucas, kama hatutasign DM mwingine mzoefu, tukimuongeza Gundogan, ndo utakuwa mwisho wa Allen na Milner
 
Inasemekana buvac ana hasira sana na ndie anaeongea na players wakicheza ovyo....
Jana klopp hakuongea. Buvac aliwamind players na kuwaambia wanatakiwa kufight for their future. ....Dirisha kubwa ni kusafisha makapi yote kabisa

lol, ......and some people on here wants Klopp to be sacked..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom