Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii ngumu kumeza.

Tuanze kumjadili Klopp. Conclusion yangu ni kuwa kuna very thin line ya kuwatofautisha Klopp na Rodgers.

Kama Suarez asingeondoka na Sturridge kuumia, tungeweza kuchukua EPL na pia kufika mbali sana kwenye UCL kwenye season ya 2014/15. Kilichomfanya Klopp awike B Dortmund ni mchango binafsi wa Lewandoski na Gotze, walipoondoka hawa Klopp na Dortmund yake wakaangukia pua!

Cc. Ed n Edd nEddy
 
Last edited by a moderator:
Liverpool in the Premier League this season:
Under Rodgers: 8 Games, 12 Points.
Under Klopp: 9 Games, 12 Points.

the normal one.
 
Duh!!! Poleni sana Rafiki zangu Ed n Edd nEddy sijui leo umejificha wapi? My kaka naona jogoo hili lishakuwa la kizungu mchinjaji hana tabu..... Pazi na mak89 take it easy league ngumu..... wembeee na fredricko khaahahhhhahahahahhah hii ndo gege style, kujeni basi msiwe mnajificha bana!!!!

Nitaanza kukimbia jukwaa kwa vipigo ivi vya liverpool aisee lkn nanyi man u vimeo tu
 
Last edited by a moderator:
Klopp sio kocha mbovu but hii ligi ni tofauti sana na nyingine,On my view Carlo Anceloti angewafaa sana kuliko Klopp
Kwa ulinganifu wako, you are also automatically implying kuwa kumbe BR si kocha mbaya and there was no point replacing him with Klopp, right?
 
Kwa ulinganifu wako, you are also automatically implying kuwa kumbe BR si kocha mbaya and there was no point replacing him with Klopp, right?

Wakati mzuri wa kumfanyia Klopp assesment ni msimu ujao,msimu huu anaokoa jahazi tatizo sisi mashabiki akija kocha mpya tunajua matatizo ya timu yameshaisha.Klop still hajajua approach ya kuitumia anavyokutana na hizi timu ndogo,hii inamcost sana.Liverpool mnahitaji new GK, new CB
 
Liverpool in the Premier League this season:
Under Rodgers: 8 Games, 12 Points.
Under Klopp: 9 Games, 12 Points.

the normal one.
sometimes una use common sense kidogo,
BR kakaa na team kwa muda gani, angalia na Klopp pia,
 
Teh teh teh naona sasa kila timu inayaogopa majogoo.

Cc Malafyale
Ni hivi, kila timu inayaogopa majongoo.

Vipi bandugu mood imeanza kutengemaa, kuwa nzuri?

Au unamwita mfuga majogoo akusaidie kubeba sehemu ya shehena ya maumivu na machungu?
Msiba wa wengi hubadilika na kuwa harusi(sherehe)?

Teh, teh, kwi kwiii, khe ,kheeee!
 
Just read somewhere kua klopp msim wake wa kwanz borussia alikua rafik wa players mwisho wa msim alitimua 12...na aliwachenjia vby haha...
 
Ameenda kuvuna na kukusanya majongoo kwa ajili ya lishe ya majogoo yake.

Majogoo yake yamepata utapia mlo, yanahitaji lishe bora na hakuna lishe bora kwa majogoo kama majongoo.
Tupo kwenye transition baada ya BR kutuletea wachezaji wa hovyo hovyo,Klopp will make us better
 
Liverpool in the Premier League this season:
Under Rodgers: 8 Games, 12 Points.
Under Klopp: 9 Games, 12 Points.

the normal one.

we pimbi unajua Klopp ana miezi mingapi tangu aje LFC?? na unaelewa kuwa hiki siyo kikosi chake?? utamjudge vipi manager ambaye hajaspend even a single cent ya usajili???

afu tumia akili zako, siyo unaCopy copy kila kitu na kuleta humu.
 
Hali ni tete ndugu yangu,lkn tutasimama tu maana in Klopp we believe!
Leicester atakiona cha mtema kuni Anfield

Mkuu kwa Liceister itabidi mshinde hata kwa figisu, hichi kitimu kikiachwa hivi hivi kitazoea vibaya
 
Ni shidaaaaa Liverpool 😼😼😼😼😼😼😼😼😃😃😃😃😃😃😃😃⚽️⚽️⚽️⚽️🏃🏃🏃🏃
 
Mkuu kwa Liceister itabidi mshinde hata kwa figisu, hichi kitimu kikiachwa hivi hivi kitazoea vibaya

Huyo Leicester nampiga easy sababu atataka kuja Anfiekd kucheza mpira!Liverpool anasumbuka kwa team zinazo cheza fiziko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom