Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bang Skertel bonge ya Striker Real Number 9 tehteh sasa Benteke anaogopa nafasi yake.... coutinho na Firminho ni vitu vya kawaida nimemsema Firminho vibaya sana nyuma atanisameh. YNWA!
 
Dada everlenk tunakuja mdogomdogo ukistuka ujue upo chini tehteh! Skertel naye anafunga sio kwa Bichwa Lake tu Kama Striker!
 
Bang Skertel bonge ya Striker Real Number 9 tehteh sasa Benteke anaogopa nafasi yake.... coutinho na Firminho ni vitu vya kawaida nimemsema Firminho vibaya sana nyuma atanisameh. YNWA!

He was finding his feet, ila bado hajapata mpumzi ya kuhimiri epl, umemuona emre can? Na lucas sweeper? BR alikuwa anamess up na talents we have.
 
Dada everlenk, leo nimeanza kuona really changes in our play. Kwa game plan dhidi ya man city was executed perfectly

Nadhani umeona tofauti ya BR na JK kwa performance na total number of game gained

Yes tofauti inaonekana kubwa sana Hongereni leo hadi Sket kaonekana!!! Mi niwapongeze tu kwa kweli.......ila bado mna point zangu tatu hapo mwakani....lol
 
Ndugu yangu rubaman na BAK na Wacha1 kwema hapa?

Naona Mulumbu alichukua dimba lake,lkn ndiyo soka

article-3328508-2EAC5B3900000578-260_964x386.jpg

Hongereni wakuu kkwa kuwachapa Manc's ..... ...... ... kazeni buti
 
Naona wazee wa Bwawa la Maini a.k.a Loserfools mnajilamba midomo leo...hongereni kwa kufanya kazi nzuri ya kupunguza kasi ya Man Shitty
 
Last edited by a moderator:
article-3328508-2EAC5B3900000578-260_964x386.jpg

Hongereni wakuu kkwa kuwachapa Manc's ..... ...... ... kazeni buti
Shukran mzee ambaye huna chuki binafsi hata Nzi Leo kakubali ila Nzi anavisababu vyake vya Kishetani wekundu mtu na akili zake kweli anafata Shetani?
 
Last edited by a moderator:
Bang Skertel bonge ya Striker Real Number 9 tehteh sasa Benteke anaogopa nafasi yake.... coutinho na Firminho ni vitu vya kawaida nimemsema Firminho vibaya sana nyuma atanisameh. YNWA!

Hahaaa mkuu nilikuwa nataka nikutafute nikuulize kama bado una hofu naye tena
 
HahahAha mtani waoneeni hao hao mimi km mtoto wa kitanga kwangu mtachemshaaa....lol......poyeeee naona mchepuko wako leo tumemdhalilisha....lol

Tulichemsha Mara ya kwanza sababu hatukujulia angle nzuri ila next round jiandae kuomba pool

Mchepuko nimeuacha saa hizi mambo gani yale bora njia kuu ipo kweli njia kuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom