Dr
Mkuu imefika kipindi itabidi tukubali kuwa Migs hana qualities za kuwa First choice GK wa Club kama LFC, as a GK hutakiwi kutegemea sana team perfomance wakat wa kulilinda goal lako, individual perfomance ndo itamfanya GK aitwe WC na siyo team perfomance..
Hawa kina Speron, Foster, Schmeichel etc, wanalindwa na backlines mbovu sana kuliko hata ya LFC, lakin you can see wanavyopigana mpaka dk ya mwisho, huwez kuona wakiruhusu magoal ya kizembe mara kwa mara, mtu kama Foster ni kawaida kukeep 6-10 clean sheets kwa msimu pale West brom, ubovu wa backline hauwezi kumzuia keeper kuonyesha uwezo wake binafsi katika kulinda goal..
Mfano mdogo tu, last season Arsenal walikuwa wanaruhusu floppy goals mara kwa mara, koscielny na per walikuwepo, but angalia utofauti aliouleta Cech kwa sasa, hata kama unamfunga lakin anajitahid kumake some important saves, ambazo kina ospina wasingejaribu hata kufanya, huyo ndo WC GK, De Gea did the same thing last season wakat ule defence ya Utd ikiwa katika hali mbaya, no doubt alikuwa na mchango mkubwa sana kwa kuifikisha team ya Top4, thats a WC GK, siku zake za mwisho pale madrid, Casillas alikuwa anafungwa magoal ya kizembe SANA, na alikuwa na backline ya Ramos, pepe na Varane, hii inaonyesha kwamba haijalishi backline yako ni nzuri kiasi gani, kama keeper ana uwezo mdogo atafungwa tu magoal ambayo yanazuilika..
Migs ni tatizo, na sijawahi kukataa kuwa siyo keeper mzuri, NO, mimi nahitaji kumuona keeper ambaye anaweza kuhandle pressure ya kuichezea LFC, nataka kumuona keeper ambaye anaumini uwezo wake binafsi, nataka kumuona keeper ambaye hakimbilii haraka kuwalaumu mabeki kila goal likiingia, nataka kumuona keeper ambaye anaweza kuicommand backline ijipange anavyotaka yeye na keeper amabaye ana uwezo wa kulitawala eneo lake hata kwa 75%, Siyo mimi tu ambaye siridhishwi na Migs, unaona hata KLOPP anaangalia possibility ya kuleta GK mpya January, Migs kila msimu anapewa nafasi kubwa ya kujiimarisha kama Keeper number 1 wa LFC kwa muda mrefu ujao but anafail kila msimu..
Honestly, kwa mtu ambaye yupo makini na anaifatilia LFC kwa sasa, atagundua kuwa kwa msimu huu SAKHO ndo amekuwa our best and most reliable CB mpaka sasa, back then na mimi pia nilikuwa simkubali sana Sakho, but kwa ule ukweli Sakho amekuja kuwa mtu muhimu sana kwa LFC, and kitu ambacho kinanisikitisha kutoka kwako mkuu, ni kuwa kutomkubali kwako Sakho, kunakufanya umkubali mtu kama Skrtel ambaye ukiachana na Lovren ndo anaongoza katika defensive errors karibia zote zinazotokea kwenye backline yetu, kama tulivyo kubali kuwa (japokuwa iliuma) SG has past his best, basi inatubidi tukubali kuwa Skrtel HAS PAST HIS BEST, huo ndo ukweli, LFC wanatafuta RCB kwasasa siyo LCB, it means Klopp ametarget eneo la Skrtel coz ndiyo WEAK link kwenye back line yetu.
Solid LB?? Wa nini mkuu?? tangu Klopp aje LFC, our two Fullbacks wamekuwa katika ubora wao wa hali ya juu sana (including Moreno), labda ungesema backUp LB mkuu, lakini sidhani kama tunahitaji kumreplace Moreno na LB mwingne, haya mambo ya kuwrite off young players mapema hayasaidii, Muangalie Smalling sahvi, Muanglie Coquelin sahiv, Muangalie Berelin sahiv, Muangalie Delle Ali etc..tuwape nafasi wacheze mpira.